Basi hayo yote yanatakiwa kubaki kama uvumi tu na sio tuhuma kamili maana hakuna uhakika wa kinacho semwa.Watu wanatuhumu kwa sababu ni kujihatarishia maisha yako kuanza kuhoji masuala kama hayo...
Lakini vyombo vya ulinzi na usalama, mahakama vingekuwa huru, basi tungetumia hio njia unayopendekeza ya uchunguzi kufanyika...
Lakini this is Tanzania bro... acha watu wanong'one maana vyombo husika vimeshindwa kufanya kazi yao, kwa nchi za wenzetu ungesikia huyo Abdul anahojiwa...
🚮🚮Mtu mwenye elimu hawezi kuparamia kitu bila kupata ushahidi tosha iwapo ni la kweli au sio kweli .
Tabia za kurukia uvumi usio kuwa na ushahidi ni tabia za wapumbavu.
Hata kipindi cha kikwete uvumi ulikuwa mwingi maana kila ghorofa iliyo kuwa ina jengwa ,masheli yo yalikuwa ya Riziwan.
Na kwako pia dada kipenzi.Nikutakie siku njema bro
Asante sana na mm niko na ww bega kwa bega na tutafika japo haitokua rahisiMkuu wewe endelea kutetea maslahi mapana ya nchi, nipo nyuma yako atakaye kushambulia amenishambulia mimi, nitakulinda kwa gharama yoyote hapa jukwaani. Well done
Kwa ujinga wako unahisi wewe na mumeo pekee ndiyo mnamjua au yeye ndiyo mtoto wa Rais pekee? ushahidi wewe ni mahakama? shetani mkubwa weweAcha usenge hakuna asiye jua kutukana tumia lugha ya sitaha hapa tunajadiliana hatugombani.
Jifunze kuheshimu mawazo ya wenzio sio lazima kila mtu awaze au angamue mambo kama ww na ndio maana ww unamhusudu Netanyau hali ya kuwa mm namuona kama mtu muovu kuwahi kuwepo hapa duniani hiyo ni mitazamo tu.
Watz wote ww bibi yako na mama yako huko kijijini wanamjua hata huyo Abdul kabla ya kuhoji utajiri wake?
Kwani huyo samia ana mtoto mmoja tu Abdul hana watoto wengine mbona wao hawaishi kama huyo Abdul au wao hawapendwi na mama yao?
Kinacho hitajika leteni ushahidi wa tuhuma zenu basi mengine ni porojo tu.
Inasikitisha sn km haya tunayoyasoma humu ndo hao waliopaswa kulinda nchi na rasilimali zake plus Raia ndo wako mstari wa mbele kuhujumu🥲🥲Jeshi kazi yake kusimamia Katiba na Kulinda nchi ila nchi inachezewa wao wapo tu. TISS huwa hawana kazi yoyote mbele ya jeshi
Hakuna anaemiliki gari ya gharama kuliko ya mtt wa ris Kwa sasaHapa Tz kuna Watz wangapi wanamiliki magari ya bei mbaya kuliko hata hilo je unajua biashara zao?
Leteni ushahidi acheni uvumi maana hata mungu amehamisha uvumi kwa sababu umejaa maneno ya uongo.
Ww mlamba mavi ya Netanyau ,kwani ni razima aishi kama wanavyo ishi watoto wa maraisi wengine?Kwa ujinga wako unahisi wewe na mumeo pekee ndiyo mnamjua au yeye ndiyo mtoto wa Rais pekee? ushahidi wewe ni mahakama? shetani mkubwa wewe
Ya kwamba Tz hakuna gali kama hilo lipo moja?Hakuna anaemiliki gari ya gharama kuliko ya mtt wa ris Kwa sasa
UWT hata kiswahili kinakushinda, hopeless kabisa. Wewe unaishi maisha ya Abdul au wewe na mumeo mnaishi ordinary single room?Ww mlamba mavi ya Netanyau ,kwani ni razima aishi kama wanavyo ishi watoto wa maraisi wengine?
Ww maisha unayo ishi ni sawa na wanayo ishi wengine?
Tafuteni hela hizi bwabwaja zenu ni sababu ya umasikini ndo unao wasumbua.
Ww kama unaona Abdul anafaidi nenda akuoe ili ufadi yane.
Nimesikitishwa sana na huyo mpumbavu jinsi alivyomtetea Abdul mwanzo mwisho kwenye hii mada, tena kwa hoja ambazo hazina kichwa wala miguu, mara analeta reference ya Ridhiwani... mara anaruka ruka kusema sijui watu wanamiliki majumba ya 20b tusishangae ya abdul kumiliki gari ya 20b... yaan utetezi wa kipumbavu kabisa.UWT hata kiswahili kinakushinda, hopeless kabisa. Wewe unaishi maisha ya Abdul au wewe na mumeo mnaishi ordinary single room?