Wazazi wapo sahihi, huwezi kumuoza binti yako kwa mtu asiye na mbele wala nyuma.Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
Wewe unaweza kumuoza binti yako kwa mtu ambaye haeleweki eleweki?duh n noma, ila binti nae c angekaza, ameshindwa hata kutoroka na kurudi kwa mshikaji
ChaiHili jambo liliwahi kunikuta 2025,binti ananipenda kinyamanyama,wazazi wakakaza,wakamuozesha kwengine, lahaula,binti hajamaliza hata mwaka kwenye ndoa yake amerudi home,anadai jamaa kimoja cha kuku mpaka week ijayo,ana mwaka sasa yupo kwao na mahari wanarudisha huku mimi nanenepeana tu na mama kijacho wangu. Binti huwa nalonga anasema yu tayari kuwa mke wa pili.
Hivi dunia ya sasa bado tu tunadharaulianaW
Wazazi wapo sahihi, huwezi kumuoza binti yako kwa mtu asiye na mbele wala nyuma.
Dah, hivi dunia ya sasa bado tu tunadharaulianaW
Wazazi wapo sahihi, huwezi kumuoza binti yako kwa mtu asiye na mbele wala nyuma.
Kwamba huyo jamaa haelewek?Wewe unaweza kumuoza binti yako kwa mtu ambaye haeleweki eleweki?
Miaka mitano hata barua ya uchumba hamna.Kwamba huyo jamaa haelewek?
Kwamba know sheria Ilitakiwa iwe miaka mingapi?Miaka mitano hata barua ya uchumba hamna.
Hiyo ni dalili ya nini?
Kila mzazi anatamani mtoto wake aishi maisha mazuri ndio maana wanatumia gharama kubwa kwenye malezi .Dah, hivi dunia ya sasa bado tu tunadharauliana
Endelea kukaza fuvu.Kwamba know sheria Ilitakiwa iwe miaka mingapi?
Unaogopa kuitwa Bonge nyanya?😆Sawa ila nasisitiza sio kama ya huyo kijana😅
Sio kuogopa sipendi nachukiaUnaogopa kuitwa Bonge nyanya?
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.Hawa comedy si ndio walikuja na tuzo za Mama Champion of comedy ? ...lolote tu limkute 🐼
AU WEWE NDIO SHAFII?Sasa kama ni muongo, mbona familia haija kusafisha mkuu, hivi unawajua wazazi wa Dodoma mkuu, hapo washa vuta pesa shida inaanziaga hapo, achana na mgogo kwenye swala la hela umasikini ni mbaya