Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Huyo binti ana miaka mingapi mpaka analazimishwa kuolewa na mtu asiyemtaka??
Binti ana mlaghai tu mshikaji , mwanamke kama anakupenda kweli yupo Tayari hata kuruka ukuta wa nyumbani kwao ndio akubali kupangiwa mwanaume wa kumuoa !?

Hapo kampanga tu jamaa ili kutafuta scapegoat
 
Huyo mkubwa sana, inawezekana ameamua koolewa mwenyewe baada ya kuona boyfriend wake anachelewa kumuoa badala yake umekuwa uchumba sugu halafu akamuambia amelazimishwa na wazazi wake ili asione amemsaliti .
Ndio hivyo hivyo nilivyowaza 😄
 
Hata simjui huyo shafii wala sijawahi kumuuona.. mambobyenu hayo huko daslamu
 
Tena hivi ni ndoa ya kiislamu! Shafii ataendelea kumtumia miamala mke wa mtu kwa matumaini ya uongo.
Mwanamke kamuacha makusudi
Nimewaza tu huyo dada atakua na akili sana kafanya maamuzi yake kawauzia msala wengine saiv inaonekana ni kama innocent kaamua zake kuplay victim card, hapo jamaa aliemuoa nae hiyo ni wakeup call lolote litakalotokea demu bado ni mshindi iwe kwa shafi, wazazi au huyo mume wake mpya.
 
Mume mpya inaonekana ana mafanikio ambayo Demu karidhika nayo, Shafii apambane na hali yake atafute pesa.

Demu kaenda huku kaweka mazingira mazuri ili ndoa ikivunjika atarudi kwa shafii chap!
 
Shafii ataendelea kumginga huyo demu, ukiona picha nguo alizo vaa huyo demu, ni wale wapenda ustar, subiri aka kae Kwa mume mwaka tu agundue insta hapati likes nyingi mambo ya kazi nyingi kuliko kuspend, ndoa kwishnehi, MUNGU amsimamie huyo mdau, muoaji
 
Tena huyo mchekeshaji baada ya tukio ndo kaamua kuonesha kichwani alivochenga, kaamua kuyamwaga kama yalivo, mara apost picha anajiliza mara mama Gwajima...hapo hata akipata demu wake mpya ajae anajua pa kuanzia.
Bro shituka kiki hiyooo
 
Mume mpya inaonekana ana mafanikio ambayo Demu karidhika nayo, Shafii apambane na hali yake atafute pesa.

Demu kaenda huku kaweka mazingira mazuri ili ndoa ikivunjika atarudi kwa shafii chap!
Kaka nimesoma huo mchezo, mdau aliemuoa huyo Binti awe makini sana
 
Back
Top Bottom