Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Familia ijisafishe kwa Jambo gani?

Iko hivi mtoto akishakuwa mtu mzima yeye ndiye anaamua wa kumuoa au kuolewa naye. Wazazi hata wapinge uamuzi unabaki kwa mtoto.

Hiyo kusema wazazi wamemkataza ni uongo. Ni uamuzi wa binti kumuacha mshikaji. Na nikuhakikishie kuwa huyo binti alikuwa hampendi hiyo mchekeshaji.

Hivyo aliwachagua wazazi wake badala ya mshikaji. Jamaa anajaribu kuukataa ukweli.

Mke/mume ni yule anayeweza kukuchagua na kuwa upande wako dhidi ya mtu yeyote yule duniani
Kaka utengane na wazazi wako, kisa mpenzi, usichukulie poa
 
SHAFII KANISHANGAZA, KASHITAKI KWA DKT GWAJIMA, SABABU HUYU MAMA YUMO HUMU, NGOJA TUONE ATA SOLVE VIPI?
 
Miaka mitano(5) bila binti kula udongo,kupata kichefuchefu,kula ndimu,kutema mate kwenye kikopo na kuota kitambi?

Ndugu yetu ajitafakari sana kama hii story yake ni ya kweli, unaishije na mtoto wa mtu miaka mitano kizembe? Maana angelimtia mimba wasingemtafutia mtu mwingine amuoe.

Pia kwa hizi pigo zake kulialia mitandaoni, hiyo familia ina haki ya kufanya walichofanya.


#Hallelujah!!!
sauti ya bob....
 
Hata kama wewe mwanao huwezi kumtumbukiza sehemu usiyokuwa na uhakika nayo!

Wazazi wapo sahihi!

Kama walikuwa wanadate vijana mnavyosema kwanini asijitambulishe aanze kumhudumia?

Ujinga tu
Kaka umesoma andiko lake vizuri? Alienda kujitambilisha ukweni, wakamkataa, sasa afanyeje?
 
Kama huwezi hilo basi Acha kuanzisha familia. Kwa sababu familia inahitaji watu wenye utambuzi huo.

Kwamba mkeo/mumeo ni zaidi ya yeyote.
Kwanza wazazi wenye maadili waliokulea vizuri hili lazima wawe walikufundisha
Je siku mki achana utakua kwenye, hali gani, maandiko yamesisitiza tiwaheshimu baba na mama
 
Back
Top Bottom