Kama aliwaomba wakamkataa, maana yake wanayo hiyo mandate. Wangekuwa hawatakiwi kumkataa asingewaomba bali angewalazimisha. Au wasingehitajika kwenye kutoa au kukataa ruhusa asingewaomba.Shafii si amesema hapo wazazi wa binti wamemkataa au
Standard zako za utajiri ndogo sanaJamaa ana gari, ana kula vizuri, ana lala pazuri, ndo nimeshangaa unamuweka kwenye group la masikini?
Ukiona mtu mzima mama, analia mbele ya watu ujue kuna jambo.Kawaida sana ,hayo mambo hayajaanza leo wala jana ,yapo na yatendelea kutokea siyo yeye wa kwanza.
Huyo bint angekuwa ni mwanao ungemuozesha kwa mhuni?Ni kipi kimefanya umzarau, naweza kukutajia list ya wahuni kumzidi shafii na wako kwenye ndoa Hadi sasa
Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
Nimeona kashitaki Kwa dtk gwajima sijui, itakuwajeDogo asiwe na pressure, ashushe pumzi akubaliane na hali japo si rahis
Kwa uzoefu wangu ndogo ambazo ni za kulazimisha huwa hazina uhai wa muda mrefu why sababu upendo na mapenzi haviko pale.
Msingi wa ndoa yoyote ni mapenz ya kweli, si ya upande mmoja. Msingi ukikosekana
Huo muunganiko hata miaka mi 6 hautofika
Demu anadai katishiwa, kuwa akikaidi agizo la familia, atafute wazazi wake wengineBora amekataliwa na huyo mwanamke mpumbavu. Angemsumbua sana.
Mwanaume/mwanamke anayesikiliza wazazi wake kwenye masuala ya ndoa na kuamuliwa huwaga hawanaga akili sawasawa. Wengi ni vichomi.
Sizani demu ana Lia tu hana cha kufanya mi naamini, Kuna mwanafamilia Kesha vuta chake kama si wazazi basi kaka mtuInategemea
Demu anadai katishiwa, kuwa akikaidi agizo la familia, atafute wazazi wake wengine
Hiyo ni kazi yake kaka mbona tundu lisu hunyoa kiduku, raisi wa Botswana ana way kichwani same Kwa mke wa rutoVijana, Kila siku usisahau neno hili "MUONEKANO" mara nyingi hili neno linaweza kukuondolea au kukuondoa karibu na watu unao wapenda kwasababu neno hilo linaweza kukufanya uwe au uwekwe kwenye maswali mengi hasa katika jamii zinazoamini mila na desturi...
Mwambieni atoe rasta kichwani zile
Sasa kama ni muongo, mbona familia haija kusafisha mkuu, hivi unawajua wazazi wa Dodoma mkuu, hapo washa vuta pesa shida inaanziaga hapo, achana na mgogo kwenye swala la hela umasikini ni mbayaMuongo.
Anasingizia wazazi wake
Sasa kama ni muongo, mbona familia haija kusafisha mkuu, hivi unawajua wazazi wa Dodoma mkuu, hapo washa vuta pesa shida inaanziaga hapo, achana na mgogo kwenye swala la hela umasikini ni mbaya
Ambao wanawwgonga kinyama wenye wake zao wenye NDOA😀😀😀Usifanye hivo min me, sisi ni kama kaka wa taifa usi sapoti hili jambo, umewafikiria bodaboda?
Dogo kaingizwa ChakaNimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah