Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Hata ungekua wewe mzazi, Shafii ni kijana wa kukabidhi binti yako ukiachilia mbali Uchekeshaji na Uchawa wake?
 
W
Wazazi wapo sahihi, huwezi kumuoza binti yako kwa mtu asiye na mbele wala nyuma.
 
Chai
 
Dah, hivi dunia ya sasa bado tu tunadharauliana
Kila mzazi anatamani mtoto wake aishi maisha mazuri ndio maana wanatumia gharama kubwa kwenye malezi .

Sasa huwezi kutumia gharama kwenye malezi halafu mwisho wa siku ukibali aolewe na mtu asiye na mbele wala nyuma.
 
Shafii kazingua kaguswa kidogo milio mingi anatafuta huruma. Mwanaume kaza
 
Moral of a story.
1-Tunavijana wakiume hasa mkoa wa dar hawatoweza kukomaa kiakili sababu maadili ni ziro.

2-Utumiaji wa mitandao unapaswa kuwekewa sheria nzuri zaidi zinazoweza kulinda utu wa watu.

3-Jamii ya sasa imemtelekeza mtoto wa kiume na imewekeza kwenye kumtaftia kula ila malezi sahihi hakuna ndo maana watoto wengi wakiume saivi wapo very weak hasa kwenye upande wa fikra, malengo, maamuzi na utafutaji.
 
Mzazi na familia ndo zinajua kipi ni sawa kwa mwanao sasa mnataka tufanye nn sisi wana nzengo.

Wazazi wameamua acheni binti yao aende sehemu ambayo wao wanahisi ni salama kwa mwanao bas ayo mambo ya binti kulia ni suala la muda tu atalia atachoka na akimaliza atampikia mmewe chakula na unyumba atampa na maisha yataendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…