Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #61
Kaka ni kazi yake hiyo ndo inampa kipato, mbona mwana fa sasa ni waziri, maisha ya hivi waliyaishi enzi hizo bro, just hustlingKijana wa kiume unavaa hereni, unasuka nywele ukileta posa nyumbani kwangu mtakula ngumi wewe na mshenga wako.
Noma sna binti kiziwi njoo ujisomeeKaka wa binti inasemekana ndo mambo yote, hapo usikuye Kuna watu wamesha vuta chochote maisha haya
Ni lazima asuke na kuvaa hereni?Kaka ni kazi yake hiyo ndo inampa kipato, mbona mwana fa sasa ni waziri, maisha ya hivi waliyaishi enzi hizo bro, just hustling
Sio watu wote ni watu wa mitandao.Mbona wazazi wake na kaka yake anae tuhumiwa hajaja kukanusha, huoni kama familia ime chafuliwa
huenda Mwenyezi Mungu kamuepusha na shari ambayo ingempatia masikitiko na huzuni maisha yake yote huyo mchekeshaji. Na sio rahisi wengi kufikiria hivi.Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
Sawa ila nasisitiza sio kama ya huyo kijana😅Sasa wewe si wakike hata ukiwa nayo hakuna shida😅
Wana njaa hao, yani wako radhi Kwa lolote ilimradi wapate pesa tuKuhusu wanawake wa dodoma na wazazi wao hiyo ni kama desturi, yaani uki date na mwanamke kutoka dodoma tegemea jambo kama hilo
Ilimitokea mimi na mwanamke alilazimishwa kuolewa na akaenda na akaolewa
wazazi wake walikula pesa ya mahali ya shillings milioni 1, binti akanambia nikataka niitoe kama mahali na nilisema ikibidi nitaiongeza hiyo pesa, walikataa katu katu, nikakosa mke kwa mtindo huo
Cha ajabu baada ya kuzalishwa jamaa alimuachaga yule msichana akarudi mjini akawa anadanga tu
Wazee wa dodoma hii ni kawaida yao
Ndio uhusika ulivo, una zani ukitaka kuigiza kama Teja utavaa kanzu na kibandiko?Ni lazima asuke na kuvaa hereni?
Basi vijana wachukue tahadhari na mabinti wa huo mkoa😁Kuhusu wanawake wa dodoma na wazazi wao hiyo ni kama desturi, yaani uki date na mwanamke kutoka dodoma tegemea jambo kama hilo
Ilimitokea mimi na mwanamke alilazimishwa kuolewa na akaenda na akaolewa
wazazi wake walikula pesa ya mahali ya shillings milioni 1, binti akanambia nikataka niitoe kama mahali na nilisema ikibidi nitaiongeza hiyo pesa, walikataa katu katu, nikakosa mke kwa mtindo huo
Cha ajabu baada ya kuzalishwa jamaa alimuachaga yule msichana akarudi mjini akawa anadanga tu
Wazee wa dodoma hii ni kawaida yao
Nilihaidi kulipa pesa zaidi lakini wazazi wake walikataaWana njaa hao, yani wako radhi Kwa lolote ilimradi wapate pesa tu
Ni kipi kimefanya umzarau, naweza kukutajia list ya wahuni kumzidi shafii na wako kwenye ndoa Hadi sasaSasa hapo umeona Kuna muoaji ndugu mleta Mada?
Ukimtongoza akakubali piga shine hasa usijivungeBasi vijana wachukue tahadhari na mabinti wa huo mkoa😁
Mkuu kisa ni muonekano wake au? Hiyo ni kazi yake inayo mpa riziki, hakabi Wala haibi mkuuKenge huyo Shafii upendo huwa unakujaa mwishoni.1.Kuhudumia 2.Kuongoza 3.Kupenda.Wazee na mimi mwenyewe nikimpigia mahesabu ya mbali huyo tutusa naona chekibobu tu anayetaka kuharibu maisha ya Binti wa watu.
Inasikitisha sana mkuu japo, si sawa kufurahi ex wako anapo endewa mlama na maishaNilihaidi kulipa pesa zaidi lakini wazazi wake walikataa
Ila nilifurahi sana yule binti alipoachwa na aliyemuoa, roho yangu ililidhika sana aisee
Kweli wana tamaa wapo radhi wafanye lolote ili wapate pesa
Nimeandikia bikBadilisha mwandiko kijana.
Boss, hakuna mahusiano yaliyowahi kuniyumbisha maisha yangu kama yalee aisee.Inasikitisha sana mkuu japo, si sawa kufurahi ex wako anapo endewa mlama na maisha