Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Sasa comedian nayo ni kazi kweli kibongo bongo?
Kupotezea binti wa watu muda tu.
 
Shafii si amesema hapo wazazi wa binti wamemkataa au
Kama aliwaomba wakamkataa, maana yake wanayo hiyo mandate. Wangekuwa hawatakiwi kumkataa asingewaomba bali angewalazimisha. Au wasingehitajika kwenye kutoa au kukataa ruhusa asingewaomba.

Kwahiyo walifanya kazi yao.
 

Bora amekataliwa na huyo mwanamke mpumbavu. Angemsumbua sana.

Mwanaume/mwanamke anayesikiliza wazazi wake kwenye masuala ya ndoa na kuamuliwa huwaga hawanaga akili sawasawa. Wengi ni vichomi.
 
Nimeona kashitaki Kwa dtk gwajima sijui, itakuwaje
 
Bora amekataliwa na huyo mwanamke mpumbavu. Angemsumbua sana.

Mwanaume/mwanamke anayesikiliza wazazi wake kwenye masuala ya ndoa na kuamuliwa huwaga hawanaga akili sawasawa. Wengi ni vichomi.
Demu anadai katishiwa, kuwa akikaidi agizo la familia, atafute wazazi wake wengine
 
Hiyo ni kazi yake kaka mbona tundu lisu hunyoa kiduku, raisi wa Botswana ana way kichwani same Kwa mke wa ruto
 
GenZ mpuuzi, We unataka demu unakwama.!

Hakuna kipindi vitu vinawezekana ukitaka kama wakati huu

Yaani Jomba akishindwa kumiminia kwa glass mpaka wanampoka

Jomba anashida sehemu

Siku hizi mke huoi unaletewa kana zigo lilowachosha watu Baaria unamiliki kiroho safi. 🤗
 
Sasa kama ni muongo, mbona familia haija kusafisha mkuu, hivi unawajua wazazi wa Dodoma mkuu, hapo washa vuta pesa shida inaanziaga hapo, achana na mgogo kwenye swala la hela umasikini ni mbaya

Familia ijisafishe kwa Jambo gani?

Iko hivi mtoto akishakuwa mtu mzima yeye ndiye anaamua wa kumuoa au kuolewa naye. Wazazi hata wapinge uamuzi unabaki kwa mtoto.

Hiyo kusema wazazi wamemkataza ni uongo. Ni uamuzi wa binti kumuacha mshikaji. Na nikuhakikishie kuwa huyo binti alikuwa hampendi hiyo mchekeshaji.

Hivyo aliwachagua wazazi wake badala ya mshikaji. Jamaa anajaribu kuukataa ukweli.

Mke/mume ni yule anayeweza kukuchagua na kuwa upande wako dhidi ya mtu yeyote yule duniani
 
Dogo kaingizwa Chaka

Binti made the decisions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…