Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Huwezi kujua. Ile ni nchi yenye selective justice. Si mafisadi wote ni maadui wa state.Mtu kama huyu China asingekuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kujua. Ile ni nchi yenye selective justice. Si mafisadi wote ni maadui wa state.Mtu kama huyu China asingekuwepo
Bora Mtemi awe Spika wa Bunge kuliko BetinaKwa hali ilivyo hivi sasa huyu ni right candidate, ingawa CCM wanaweza kumuona kama kikwazo!
Usafi kwa hii ccm ni disqualificationDuh Futa-Lema
CCM hawana bora wote watafanya kazi kwa maelekezo ya Magogoni na hivi kilichomkuta Ndugai wamekiona lazima wataogopa,pia Chenge nae sio msafi huyo babu.
Usiseme kwa kujing'atang'ata kwamba ^si msafi!^ Sema ^ni mchafu!^ Ebo!!!Duh Futa-Lema
CCM hawana bora wote watafanya kazi kwa maelekezo ya Magogoni na hivi kilichomkuta Ndugai wamekiona lazima wataogopa,pia Chenge nae sio msafi huyo babu.
Aisee!!!Ni msomi type ya Mugabe,kamuzu banda,savimbi,waliotumia elimu zao kuharibu nchi zao.
Wenzetu usoma Ili kuzijenga nchi zao
Kwamba wahuni wote wamerejea? [emoji848]Na kwa hali inavyokwenda upepo unavyowapendelea wahuni ndani ya CCM,huyo ndo spika ajaye.
Unaweza kuona linaangalia kushoto likakugonga kulia.Mpaka leo bado huwa najiuliza maana ya kujiita joka la makengeza!
Maana yake nini na joka lenye makengeza linafanya nn
Si lazima zipatikane kwako ama kwangu ili kujisifia. Nongwa inakuwa pale ambapo pesa za umma ambazo zingejenga hospitali, zikanunua dawa au kujaza mafuta kwenye ambulance ya kumharakisha mgonjwa hospital, and so on, zinachezewa as if kila raia anaishi maisha ya Firdausi!Mkuu tuendelee kutafuta tu pesa ili ifike mahali na sisi tuseme bilioni kadhaa ni vijisenti tu vya mboga...yani bilioni 3 ni ya mboga tu.
Ya 5Kweli hii NI awamu ya 4 part 2
Nani ampeleke mahakamani? Angekuwa wa upande wa pili hilo lingefanywa zamani.Mpeleke mahakamani, acheni kuchafua wazazi wa watu.
900 itapendezaDigirii 9 inatufaa itatuongoza.
Hatufai kabisa kama taifa hata kama na bunge lenyewe lishapoteza mvutoBasi atakuwa FASIDI--mtu atumiaye mamlaka ya elimu, ushawishi, na pesa ili kujipatia, kilaghai na udanganyifu, mali na cheo ambacho vinginevyo asingeweza kupata.
Mbona Mtemi mwenye alithiibitisha ile chenji ya rada aliyokatiwa akasema yeye alikatiwa vijisenti tu? [emoji1][emoji1]Kusema ni kweli ndio kufanya kuwa kweli?
Unaweza kuthibitisha tuhuma zako?
Usiyempenda kaja! jasmon.Mambo ya vijisenti yamerudi kama mvua ya mafuriko! Sidhani kweli kama hii nchi hata hiyo 2025 itafika kwa mwendo huu.
Usikute zile trilioni 1.3 za Bi Mikopo, Mzee wa Vijisenti angedai ni vipesa tu vya chenji wala havina athari yoyote kwa taifa.
Joka la makengeza on the wayUsiyempenda kaja! jasmon.