Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

Duh Futa-Lema

CCM hawana bora wote watafanya kazi kwa maelekezo ya Magogoni na hivi kilichomkuta Ndugai wamekiona lazima wataogopa,pia Chenge nae sio msafi huyo babu.
Usiseme kwa kujing'atang'ata kwamba ^si msafi!^ Sema ^ni mchafu!^ Ebo!!!
 
Mkuu tuendelee kutafuta tu pesa ili ifike mahali na sisi tuseme bilioni kadhaa ni vijisenti tu vya mboga...yani bilioni 3 ni ya mboga tu.
Si lazima zipatikane kwako ama kwangu ili kujisifia. Nongwa inakuwa pale ambapo pesa za umma ambazo zingejenga hospitali, zikanunua dawa au kujaza mafuta kwenye ambulance ya kumharakisha mgonjwa hospital, and so on, zinachezewa as if kila raia anaishi maisha ya Firdausi!

Haina thamani yoyote pesa ukipata kiasi hicho wakati kuna watoto countless kila kona ya nchi hii wanakufa njaa, hakuna maji safi na salama almost kila mahali, miundombinu mibovu, shule na taasisi duni. Can you imagine? Are we thinking even?

Yaaani maendeleo yawe mimi kupata trillions ambazo, IN ALL LIKELIHOODS, siwezi kuzimaliza hata ningeishi literally miaka infinity, wakati wapo watu wanaotafuta japo pesa ya mlo wa kutwa? INSANITY! PATHETIC! SHAME! FOOLISH! POVERTY OF MIND, BODY, AND SOUL!!!
 
Basi atakuwa FASIDI--mtu atumiaye mamlaka ya elimu, ushawishi, na pesa ili kujipatia, kilaghai na udanganyifu, mali na cheo ambacho vinginevyo asingeweza kupata.
Hatufai kabisa kama taifa hata kama na bunge lenyewe lishapoteza mvuto
 
Mambo ya vijisenti yamerudi kama mvua ya mafuriko! Sidhani kweli kama hii nchi hata hiyo 2025 itafika kwa mwendo huu.

Usikute zile trilioni 1.3 za Bi Mikopo, Mzee wa Vijisenti angedai ni vipesa tu vya chenji wala havina athari yoyote kwa taifa.
Usiyempenda kaja! jasmon.
 
Back
Top Bottom