Tatizo viongozi wa Tanznia ni wanafiki sana ..... wakiwa madarakani hawasemi kitu cha maana zaidi ya kukifurahisha chama na serikali. Wakitoka ndiyo ile guilty conscious inawaingia ..... sijui huwa wanakumbuka kuwa siku zimekaribia ....!! Maana wakati Bunge la katiba linashiriki kuipindisha Rasimu ya Warioba huyu bwana alikuwepo na alishirikiana vizuri tu na wana CCM wenzake .... Hawa Wazee huwa sometimes wanatia hasira sana ....!!Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .
Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa Kamati hiyo kurejea kwenye Rasimu iliyopendekezwa na Wananchi , Amedai ni kweli si rahisi kumzuia Rais wa Nchi kuteua Maofisa wa Serikali , lakini anawateua kwa utaratibu gani ? ni lazima Wateuliwa Waombe nafasi na Wasailiwe , amesema utaratibu huu ndio utakoiletea heshima nchi .
Chanzo : Mwananchi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
..aliyeyumba ni Andrew Chenge, sio Chadema
..Chenge ndiye aliyechakachua rasimu ya Warioba na kutoa katiba pendekezwa.
..Ni ajabu Chenge kugeuka na kudai rasimu na mapendekezo ya Warioba yazingatiwe.
Ulitaka apindishe kauli ya chenge?? Mbona nyie hamtaki mtu apindishe mazuri ya shujaa?Chenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Chenge ni mfumo mbovu tu lakini ni mtu smart sn
Chenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Ndiyo, ni mzuri;Chenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Chenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Huwa nawaza hawa kuna mtanzania hata mmoja anawaamini?
Wewe ulitakiwa ufungwe kwenye salama utupwe jalalani ukakae na mjomba wako kabudiChadema ni wapumbavu sana
Uzuri ujumbe wangu umewafikia..kama ilivyokuwa jehanam wakati Magufuli akiwa Raisi.
Angekua jela kama mlivyotaka hiyo heko ingetoka wapi?Akifanya fanya vyema heko astahili
Kwa hiyo hakustahili kwenda jela?Kwahiyo hawezi kubadilika?
Mlikuwa mnataka achunguzwe au afungwe? Hebu rejeeni kwenye maazimio yenu mkiongozwa na mwenyekiti 2014Kwani alipotuhumiwa vijisenti angechunguzwa mngepoteza nini?
Angekua jela Kama mlivyotaka hayo ya heshima mngeyaonaje?Wee uvccm ukifanya mambo ya kipuuzi utapuuzwa ukifanya ya HESHIMA utaheshimiwa ...