Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.

yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
 
Wajinga hao wanatuharibia na sisi huku.
 
pole mkuu kuna watu kazi yao ni kula kiulaiini jasho la wenzao bila kujali chochote , nakumbuka THE BOLD alishadhulumiwa sana na makanjanja waliokuwa wakitumia simulizi zake kwenye media zao.
 
Nikiwa kama mwandishi nakushauri kata hakimiliki za riwaya zako zote uhakikishe una kibali kinachokutambua ni kazi yako kupitia Cosota. Ukimaliza itumie Cosota kuwashtaki, watakutajirisha kwa faini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…