Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Screenshot_2017-11-08-13-31-27-1.png
simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.

yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
 
View attachment 626701 simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.

yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
Wajinga hao wanatuharibia na sisi huku.
 
View attachment 626701 simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.

yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
pole mkuu kuna watu kazi yao ni kula kiulaiini jasho la wenzao bila kujali chochote , nakumbuka THE BOLD alishadhulumiwa sana na makanjanja waliokuwa wakitumia simulizi zake kwenye media zao.
 
Nikiwa kama mwandishi nakushauri kata hakimiliki za riwaya zako zote uhakikishe una kibali kinachokutambua ni kazi yako kupitia Cosota. Ukimaliza itumie Cosota kuwashtaki, watakutajirisha kwa faini
 
Back
Top Bottom