Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Yaani we acha tu natamani km atupie 5 zinginee[emoji3] [emoji3] [emoji3] arosto imechochewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we acha tu natamani km atupie 5 zinginee[emoji3] [emoji3] [emoji3] arosto imechochewa
Unampenda Jona. Umechanganya mafaili hapo [emoji4] [emoji4]Steveeeeee.....nakupenda ujue[emoji1] [emoji1]
Tuwekee mambo mkuu tujimwaye mwayeWale wanangu wa Joana? Kwani hamna hamu leo?
Wale wanangu wa Joana? Kwani hamna hamu leo?
Hadithi yetu ile ya Muslim's wife umeipotezeaaa[emoji29]Jona akapiga samasoti mpaka juu ya dashboard
Steveeee endelea kutupa utamuu
Wajinga hao wanatuharibia na sisi huku.View attachment 626701 simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.
yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]Unampenda Jona. Umechanganya mafaili hapo [emoji4] [emoji4]
Mbona ilishaisha mkuuHadithi yetu ile ya Muslim's wife umeipotezeaaa[emoji29]
pole mkuu kuna watu kazi yao ni kula kiulaiini jasho la wenzao bila kujali chochote , nakumbuka THE BOLD alishadhulumiwa sana na makanjanja waliokuwa wakitumia simulizi zake kwenye media zao.View attachment 626701 simulizi yangu ya BARADHULI inarushwa Kings FM pasipo kujua mimi kama mwandishi. Kitu hiki kinakatisha sana tamaa, kinanifanya nisite kutuma simulizi zangu mitandaoni.
yani kila siku ya Jumamosi na Jumapili majira ya mchana wanasoma simulizi yangu, roho nyeupe!
Pole sana mkuuImeniuma sana kwakweli. Unakesha kutengeneza kitu usiku na mchana, mtu anakuja kukwapua na kuitumia kiulaini tu.
Vipi brother ushawah kufanya hilo unipe mwanga? Na je hiyo ni kwa nakala ngumu ama pia na laini?Nikiwa kama mwandishi nakushauri kata hakimiliki za riwaya zako zote uhakikishe una kibali kinachokutambua ni kazi yako kupitia Cosota. Ukimaliza itumie Cosota kuwashtaki, watakutajirisha kwa faini
Kuanzia nakala ngumu, laini, sauti, mlio, muundo wa teknolojia, nembo. Vyote unaweza katia hakimilikiVipi brother ushawah kufanya hilo unipe mwanga? Na je hiyo ni kwa nakala ngumu ama pia na laini?