Rushwa, ukiambiwa gharama zake hauwezi kuamini.Hii barabara imejengwa 2013, na sasa imesha haribika.
Sijui ni ubovu wa materials au Rushwa pindi wanatengeneza hizo barabara. 🤒
Tunasema Serikali Kazi Yao Ni Kuhamisha GoalAlafu serikali inahamishia burden kwa madereva eti wanawakata point kwenye driving licence zao kwa kusababisha ajali au makosa ya badabarani, hivi katika hali ya kawaida kabisa barabara kama hii itamuacha dereva salama?
Sema kushughulikia matatizo ya wengi ni kazi kubwa sana ila basi tu yaan unakaa pale mtu mmoja inabidi ushughulikie watu wote wanaokupinga na wanaokukubari sio kazi kidogo, mtwara ndio kuna barabara mbovu kibao zingine miradi haikuisha zimetelekezwa tangu Magu aende zakeKuna ya dsm to mtwara aisee ile barabara noma mkuu.
Na kuna mtu kafuga kitambi anapiga makofi bungeni kama zuzu tuSiyo blahblah kweli?
Sio Kama Zuzu ni Mazuzu tupu..Na kuna mtu kafuga kitambi anapiga makofi bungeni kama zuzu tu
Hapo alipo anabubujikwa na machozi ila hajui sasabu.Lucas Mwashambwa
Du, hatari sana
Juzi kati nilitoka Mwanza kwenda Ramadi afu Ramadi Bariadi. Alooo... nilitembea mwenzo wa kunyata.
Life span ya barabara za Tanzania ni miaka mingapi?
Asànte JF for being dutiful! Barikiwa sana Maxence Melo
Asnté moderators for being dutiful! Barikiwa sàna Maxence Melo
hiki kipande cha wapi..mbona ilikua nzuri tuu...ila hayo mashimo ni hatari sana kwa safari za usiku..
The issue is not lifespan, thé issue is MAINTENANCELife span ya barabara za Tanzania ni miaka mingapi?
Hakuna el nino ni upuuzi mtupuSerikali ipo busy na kuvunja nyumba za karibu na mto ili kujiandaa na Eli Nino ya mchongo
Rushwa na kutaka sifa tuna kilomita kadhaa za lami.Hii barabara imejengwa 2013, na sasa imesha haribika.
Sijui ni ubovu wa materials au Rushwa pindi wanatengeneza hizo barabara. 🤒
Watu wako busy kuuza nchi hawana muda na maendeleo yenu. Hayo mnayoona wanatekeleza hawana namna ni kwasababu bwana yule alishayaanzisha.
Barabara kama hii huwezi kupata ajali maana haina surprises,mwanzo mwisho ni mashimo hivyo unaenda kwa minyato. Barabara hatari ni ile unaamini lami imenyooka unajiachia mara ghafla bonge la shimo ukikwepa chali,ukilivaa kichakani. Hio ilinikuta Dodoma-Morogoro ilibidi nirudi kwenye mwendo wa mjini 60-80kph.Alafu serikali inahamishia burden kwa madereva eti wanawakata point kwenye driving licence zao kwa kusababisha ajali au makosa ya badabarani, hivi katika hali ya kawaida kabisa barabara kama hii itamuacha dereva salama?
Imagine wametenga 700b! Hawa watu hata aibu hawana.Hakuna el nino ni upuuzi mtupu