KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Clip inatosha bila maelezo

Hicho kipande sio kirefu sana hakifiki hata km 10... kuchukua video na kuanza kutia huruna kuwa ndio kinasababisha ajali huko ni kutafuta public sympath... Dereva makini amefunzwa kuendesha gari kwenye hali zote. Ndio maana wanakatwa point na kurudishwa barabarani. Hawa madereva wa malori wanaleta ule uendeshaji wa kibabe waache ufala.....

Sikatai kunatakiwa matengenezo ila kusingizia ajali si wapunguze mwendo?

Nilipita hiyo barabara mwezi wa 8 malori yanakupelekea gari kama barabara yao. Mafala hawa.....
 
Kuna hiyo ya kutoka Babati, Dareda to Singida. Ina mashimo kama mahandaki
 
Nimepita hiyo barabara hivi karibuni, ni moja ya barabara mbovu kuendelea kutumika.

Ni ajabu inatumika na Wabunge wa Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe, Rukwa n.k huku wakiendelea kuwa mabubu pasipo kuipigia kelele

Hata spika aliyestaafishwa naye alikuwa akitumia barabara hiyo hiyo pasipo kuisemea

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Kasekenya naye anaendelea kuitumia ikiwa hivyo hivyo

Siku wakipoteza maisha abiria 30 ama 40 watakuja mbele za camera wakitoa pole wakati muda wa kuirekebisha upo 🙌
Hio ni barababa kubwa na ya kimataifa inaunganisha Cairo na Cape town
Kwa njia ya Cairo–Cape Town Highway (TAH 4), mpangilio wa nchi ni huu:
🇪🇬 Misri (Egypt)
🇸🇩 Sudan
🇪🇹 Ethiopia
🇰🇪 Kenya
🇹🇿 Tanzania — kupitia Arusha, Babati, Dodoma, Iringa na Mbeya
🇿🇲 Zambia
🇿🇼 Zimbabwe
🇧🇼 Botswana
🇿🇦 Afrika Kusini — hadi Cape Town.
 
Clip inatosha bila maelezo

Hapo utaambiwa ni mchochezi maana sisi tumeanza kuwekewa utamaduni mpya wa kusifia hata mabaya.Ukweli ni kuwa barabara nyingi ni mbovu na sababu ni rushwa inayokuwa kati ya Mkandarasi,Mhandisi mshauri na maafisa wa Tanroad.Barabara ya Makambako Songea pamoja na kuwa lami imeisha ina miaka 40 haina mashimo kama hizi barabara mpya.
 
Lami yenye makorongo/duni mnoo!
Hizi barabara zilijengwa kimkakati kwa lengo la kupunguza mizunguko ya roti tena zilij3ngwq wakati wa Kikwete kwa malengo ya kuzifungua na kuja kuboresha baadae. Kama hio Dodoma-Mtera-Iringa . Ile ya Singida-Katesh na ile ya Shinyanga -Maswa -Bariadi
 
Hio ni barababa kubwa na ya kimataifa inaunganisha Cairo na Cape town
Kwa njia ya Cairo–Cape Town Highway (TAH 4), mpangilio wa nchi ni huu:
🇪🇬 Misri (Egypt)
🇸🇩 Sudan
🇪🇹 Ethiopia
🇰🇪 Kenya
🇹🇿 Tanzania — kupitia Arusha, Babati, Dodoma, Iringa na Mbeya
🇿🇲 Zambia
🇿🇼 Zimbabwe
🇧🇼 Botswana
🇿🇦 Afrika Kusini — hadi Cape Town.
Viongozi wetu hawalioni hili 🙌
 
Life span ya barabara za Tanzania ni miaka mingapi?

wakati wa "ukoloni" walikuwa na utaratibu ambao kila baada ya kilometer kadhaa kulikuwa na camp ya vijana ambao walikuwa wanalipwa kukagua eneo la km fulani na kuziba shimo mara moja linapotokea, walikuwa wameajiriwa na kulipwa ujira, baada ya uhuru ofcourse tulitaka "uafrika" na tuliita unyonyaji na tukafuka kila kitu lkn kwa maoni yangu halikuwa wazo baya, kwanza ajira ya uhakika kwa watu wa hilo eneo pili utunzwaji wa br kwa maana hayo mashimo yote chanzo ni shimo moja dogo hivyo hawa vijana walikuwa wakiona tu shimo wanalifukia na walisambaa br nzima walikuwa na camp yao.

hivyo repair inaongeza lifespan ya br. na pia kupunguza gharama za ujenzi upya, kwani kinachotokea tanzagiza br inaachwa mpaka inakwisha kabisa olinabakia vumbi halafu tunakuja kuanza kujenga kwa gharama ya br mpya wakati kama tungefanya repair ina maana tungeweza kuchukua sample kwa mfano kupima na hilo eneo lenye uhitaji linawekewa lami then br inadumu hata zaidi ya miaka 100 ...
 
Hizi barabara zilijengwa kimkakati kwa lengo la kupunguza mizunguko ya roti tena zilij3ngwq wakati wa Kikwete kwa malengo ya kuzifungua na kuja kuboresha baadae. Kama hio Dodoma-Mtera-Iringa . Ile ya Singida-Katesh na ile ya Shinyanga -Maswa -Bariadi
Zina miaka/miongo mingapi tangu kuanza kutumika?
 
Kuna waziri amekaa hapo miaka kadhaa hana pesa, mwishowe ameondoka. Ameletwa mwingine, sijui atatoa wapi pesa hata za kuziba vilaka tu.
 
Nimepita hiyo barabara hivi karibuni, ni moja ya barabara mbovu kuendelea kutumika.

Ni ajabu inatumika na Wabunge wa Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe, Rukwa n.k huku wakiendelea kuwa mabubu pasipo kuipigia kelele

Hata spika aliyestaafishwa naye alikuwa akitumia barabara hiyo hiyo pasipo kuisemea

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Kasekenya naye anaendelea kuitumia ikiwa hivyo hivyo

Siku wakipoteza maisha abiria 30 ama 40 watakuja mbele za camera wakitoa pole wakati muda wa kuirekebisha upo 🙌
Waligawiwa ubunge wa bure halafu wachongoe midomo kama chuchunge?Hawazipendi nafsi zao mkuu?Itakuwa ni ...knock..knock!And, then kaboom!!!
 
Namuona huko insta Mzee girisoni anakanusha anamtambia Mzee Heche kuhusu barabara zipo Bora sana
Girishoni amekuwa ni mbobezi katika tasnia ya uongo na mapinduzi ya ulimi.Anavyoongea uongouongo ametuona wote kama vile tunatazama zile makala za dudumizi na swala paa maporini alizokuwa anatafsiri TBC kupindi cha wanyama.
 
Hapo utaambiwa ni mchochezi maana sisi tumeanza kuwekewa utamaduni mpya wa kusifia hata mabaya.Ukweli ni kuwa barabara nyingi ni mbovu na sababu ni rushwa inayokuwa kati ya Mkandarasi,Mhandisi mshauri na maafisa wa Tanroad.Barabara ya Makambako Songea pamoja na kuwa lami imeisha ina miaka 40 haina mashimo kama hizi barabara mpya.
Ila kuanzia hagafilo to Songea ni mashimo tuu.
 
Back
Top Bottom