loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
😁Na kuna ile Arusha - Singida kupitia Babati, nilishaandika lazima dereva awe na PhD (Pot hole Dodger)
instinct desire pita hapa
Umepita usku mm nimepita mchana nimeonana na mkandalasi yupo site ukarabati unaendeleainstinct desire pita hapa
Kishimbe wa kishimbe.
Magu hakuiona?.. maana huo ubovu siyo wa leo,na huenda wakati inajengwa alikua waziri wa ujenziHalafu wapuuzi wanamsifu samia eti kafanya mazuri?ujinga kabisa
KARIBU SANA BUJORA BRO!Maamaee kishimbe wa kishimbe.
Basi ndiyo moja kati ya vya urithi alivyoacha.Mengine hatujui.😅😅😅, Alikuwa "Tinga Tinga", yawezekana watakuwa walimzunguka wahuni labda.
Kwa kweli hii Nchi yetu, utasema haina Viongozi.Mkuu kwani hata barabara zinahitaji ''kusemewa''? Ukiwa kwenye zile nchi zenye viongozi wa kweli, kila barabara kubwa inajulikana ilijengwa lini na life span yake, yaani itakarabatiwa lini. Unakuta wanakwangua lami ya juu kabla hata barabara haijawa na mashimo. Ratiba za matengenezo ndiyo zinaongea na pia wanafanya ukaguzi kila mara. Huku kwetu utambiwa Kiziga na Abdul walipiga fedha ya ukarabati wakaenda kununua magari ya kifahari.
Hali inatisha kwa kweli, hakuna wa kuwapazia sauti Wananchi saivi 🙌Waligawiwa ubunge wa bure halafu wachongoe midomo kama chuchunge?Hawazipendi nafsi zao mkuu?Itakuwa ni ...knock..knock!And, then kaboom!!!
Halafu wapo CCM wanalipwa buku 7 kukanusha taarifa halisi kama hizi kuwa sii zakweli na hii Barbara eti ni ya afrika kusini na sii Tanzania mbali na maelezo nyoofu,picha,sauti na lugha vilivyotumika🤔
Viranja wanajipigia mafungu tu