Rushwa, ukiambiwa gharama zake hauwezi kuamini.
Ni changamoto sana, yani kila miaka tunafanya mambo yale yale, (tamaa ni mbaya sana kwa maendeleo ya nchi)Rushwa na kutaka sifa tuna kilomita kadhaa za lami.
Hicho kipande sio kirefu sana hakifiki hata km 10... kuchukua video na kuanza kutia huruna kuwa ndio kinasababisha ajali huko ni kutafuta public sympath... Dereva makini amefunzwa kuendesha gari kwenye hali zote. Ndio maana wanakatwa point na kurudishwa barabarani. Hawa madereva wa malori wanaleta ule uendeshaji wa kibabe waache ufala.....
Mama ANAUPIGA MWINGI SANA! wenye WIVU Mkajinyonge wenyewe msisubiri KESI ZA UHAINI!
Serikali imejaa mijiziImagine wametenga 700b! Hawa watu hata aibu hawana.
Hio ni barababa kubwa na ya kimataifa inaunganisha Cairo na Cape townNimepita hiyo barabara hivi karibuni, ni moja ya barabara mbovu kuendelea kutumika.
Ni ajabu inatumika na Wabunge wa Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe, Rukwa n.k huku wakiendelea kuwa mabubu pasipo kuipigia kelele
Hata spika aliyestaafishwa naye alikuwa akitumia barabara hiyo hiyo pasipo kuisemea
Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Kasekenya naye anaendelea kuitumia ikiwa hivyo hivyo
Siku wakipoteza maisha abiria 30 ama 40 watakuja mbele za camera wakitoa pole wakati muda wa kuirekebisha upo π
Hapo utaambiwa ni mchochezi maana sisi tumeanza kuwekewa utamaduni mpya wa kusifia hata mabaya.Ukweli ni kuwa barabara nyingi ni mbovu na sababu ni rushwa inayokuwa kati ya Mkandarasi,Mhandisi mshauri na maafisa wa Tanroad.Barabara ya Makambako Songea pamoja na kuwa lami imeisha ina miaka 40 haina mashimo kama hizi barabara mpya.
Hizi barabara zilijengwa kimkakati kwa lengo la kupunguza mizunguko ya roti tena zilij3ngwq wakati wa Kikwete kwa malengo ya kuzifungua na kuja kuboresha baadae. Kama hio Dodoma-Mtera-Iringa . Ile ya Singida-Katesh na ile ya Shinyanga -Maswa -BariadiLami yenye makorongo/duni mnoo!
Viongozi wetu hawalioni hili πHio ni barababa kubwa na ya kimataifa inaunganisha Cairo na Cape town
Kwa njia ya CairoβCape Town Highway (TAH 4), mpangilio wa nchi ni huu:
πͺπ¬ Misri (Egypt)
πΈπ© Sudan
πͺπΉ Ethiopia
π°πͺ Kenya
πΉπΏ Tanzania β kupitia Arusha, Babati, Dodoma, Iringa na Mbeya
πΏπ² Zambia
πΏπΌ Zimbabwe
π§πΌ Botswana
πΏπ¦ Afrika Kusini β hadi Cape Town.
Life span ya barabara za Tanzania ni miaka mingapi?
βwaaisee
Zina miaka/miongo mingapi tangu kuanza kutumika?Hizi barabara zilijengwa kimkakati kwa lengo la kupunguza mizunguko ya roti tena zilij3ngwq wakati wa Kikwete kwa malengo ya kuzifungua na kuja kuboresha baadae. Kama hio Dodoma-Mtera-Iringa . Ile ya Singida-Katesh na ile ya Shinyanga -Maswa -Bariadi
Noma sana mwanaume kupiga vigelegele huku amenyamyua kidole juu.Na kuna mtu kafuga kitambi anapiga makofi bungeni kama zuzu tu
Waligawiwa ubunge wa bure halafu wachongoe midomo kama chuchunge?Hawazipendi nafsi zao mkuu?Itakuwa ni ...knock..knock!And, then kaboom!!!Nimepita hiyo barabara hivi karibuni, ni moja ya barabara mbovu kuendelea kutumika.
Ni ajabu inatumika na Wabunge wa Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Songwe, Rukwa n.k huku wakiendelea kuwa mabubu pasipo kuipigia kelele
Hata spika aliyestaafishwa naye alikuwa akitumia barabara hiyo hiyo pasipo kuisemea
Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Kasekenya naye anaendelea kuitumia ikiwa hivyo hivyo
Siku wakipoteza maisha abiria 30 ama 40 watakuja mbele za camera wakitoa pole wakati muda wa kuirekebisha upo π
ππππHapo alipo anabubujikwa na machozi ila hajui sasabu.
Girishoni amekuwa ni mbobezi katika tasnia ya uongo na mapinduzi ya ulimi.Anavyoongea uongouongo ametuona wote kama vile tunatazama zile makala za dudumizi na swala paa maporini alizokuwa anatafsiri TBC kupindi cha wanyama.Namuona huko insta Mzee girisoni anakanusha anamtambia Mzee Heche kuhusu barabara zipo Bora sana
Ila kuanzia hagafilo to Songea ni mashimo tuu.Hapo utaambiwa ni mchochezi maana sisi tumeanza kuwekewa utamaduni mpya wa kusifia hata mabaya.Ukweli ni kuwa barabara nyingi ni mbovu na sababu ni rushwa inayokuwa kati ya Mkandarasi,Mhandisi mshauri na maafisa wa Tanroad.Barabara ya Makambako Songea pamoja na kuwa lami imeisha ina miaka 40 haina mashimo kama hizi barabara mpya.