Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

Huo mstari wako wa mwisho ndo lengo la mleta mada.. ujumbe upo indirect zaidi
Hapana huyo kijana ni chawa, mbaya zaidi anajiona yupo sahihi hapo. Ni moja wa vijana wa kimkakati waliomo humu jf na sehemu nyingine kusway audience isiyojielewa.
 
Mkuu tafadhali sana kwa heshima.. Usilitaje bure jina la MUNGU!! Tafadhali sana piga siasa kivingine sifia na kuabudu kivingine but.. Usilitaje bure jina la MUNGU!!
 
Kwa kukilinda chama chetu cha mapinduzi; jumuiya zetu pamoja na sisi wanachama tunapaswa kuwa mstari wa mbele kuhoji au kukosoa pale tunapoona mambo hayako sawa. Tusiwe wapongezaji na wasifu juhudi tu, tunayo nafasi ya kuhoji pia.
Je, hili daraja lina thamani ya B. 7?
 
Last wiki nilikua na zoezi moja wilaya ya rufiji..hali inatisha sana asee..barabara mbovu sana..jamii imechoka sana.

#MaendeleoHayanaChama
Kule kwetu kama unaenda utadhani upo katika hadithi za vitabuni zama.za utumwa. Sijui nini kifanyike kutoa hii jamii katika usingizi mzito. Kule sijui kupo vipi wana mali nyingi sana ardhi nzuri na misikiti imejaa utadhani ndio Waarabu wenyewe.
 
Angalia akili yako sasa. Unajua Moshi na Bukoba inajengwa na wakazi husika je wewe kama mtu wa Rufiji umejenga nini?
 

Kwa mambo yalivyo hata kuhoji ni kupoteza muda tu. Teams zishanipanga kula, hamna kingine. Sijui tugeukie kwa nani? Jiwe aliweza weza ila nae tulikoma kwa watu kufa na kunyamazishwa.. sasa na huku tena kwenye haya ya kuhoji ndio tutakoma kabisa.
 
Kule kwetu kama unaenda utadhani upo katika hadithi za vitabuni zama.za utumwa. Sijui nini kifanyike kutoa hii jamii katika usingizi mzito. Kule sijui kupo vipi wana mali nyingi sana ardhi nzuri na misikiti imejaa utadhani ndio Waarabu wenyewe.
Eti misikiti imejaa utadhan ndio uarabun [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…