..by its nature, the gov is inherently inefficient, nini kupoteza resources kwa kitu kinafahamika..tangaza tenda kwa kazi zote za huduma..usafi, mapokezi, ulinzi, kukata tiketi, mgahawa, ukaguzi nk wao TRC/serikali wabaki na jukumu la kulinda miundombinu tu na treni yenyewe..!unamaanisha nini hapa?
..ni nadra sana kutokea kwa namna hii..wao TRC hawana uwezo ku-deal na case za aina hii, wanaweza hata wao ndio mastermind wa haya maluwe luwe yanatokea..si wanalipwa, nobody cares!lakini kwenye computer science wanasema jambo kuu linalofanywa huko ni problem solving,
sasa wazo hilo japo wewe unaona ni lakijinga mtu anaweza litumia kuhujumu, treni lionekane limejaa watu watafute mabasi, hivyo wenye mifumo lazima wawe na uwezo wa kupredict attacks na kuweza mbinu za kuzizuia.
unakumbuka sakata la mtu anakata tiketi anaishia tuseme RUVU (nauli ndogo) ila anajikausha hadi MOROGORO au DODOMA.?
jambo hilo linaleta mgogoro , wanatoka wanaharakati na upinzania wanasema "sasa hivi wameuza na treni". Pia ni muendelezo wa incompetence, suka sheria za kueleweka suka kanuni za kazi za kueleweka weka open feedback sysytem kila mtu achape kazi mfumo utachapa kazi tu kama wateja wapo...by its nature, the gov is inherently inefficient, nini kupoteza resources kwa kitu kinafahamika..tangaza tenda kwa kazi zote za huduma..usafi, mapokezi, ulinzi, kukata tiketi, mgahawa, ukaguzi nk wao TRC/serikali wabaki na jukumu la kulinda miundombinu tu na treni yenyewe..!
mambo ya ni "nadra" ni muendelezo wa kuendesha taasisi kwa kutumia "busara" ni kitu ambacho mimi sio muumini hata kidogo...ni nadra sana kutokea kwa namna hii..wao TRC hawana uwezo ku-deal na case za aina hii, wanaweza hata wao ndio mastermind wa haya maluwe luwe yanatokea..si wanalipwa, nobody cares!
Mimi niliwahi kufanya booking SGR na sikusafiri sababu nilichelewa kidogo.nina swali je, kuna tofauti kati ya kufanya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha ni je ukifanya booking ni lazima uinunue tiketi au kuna adhabu yoyote kama fine labda kama ikifanya booking halafu usisafiri?
nauliza hivyo kwa maana inawezekana pia labda watu wakafanya booking halafu wasisafiri? najaribu tu ku-brainstorm kuelewa jinsi mfumo wao unavyofanya kazi ...
Ameandika Askofu BagonzaBila ushahidi usio na shaka hizi zitabaki ni tuhuma tu...weka picha tuone kuwa behewa lilitoka Dodoma hadi Dar likiwa tu
Soma hiijambo hilo linaleta mgogoro , wanatoka wanaharakati na upinzania wanasema "sasa hivi wameuza na treni". Pia ni muendelezo wa incompetence, suka sheria za kueleweka suka kanuni za kazi za kueleweka weka open feedback sysytem kila mtu achape kazi mfumo utachapa kazi tu kama wateja wapo.
mambo ya ni "nadra" ni muendelezo wa kuendesha taasisi kwa kutumia "busara" ni kitu ambacho mimi sio muumini hata kidogo.
kwa msaada wa AI --- nimetumia AI kwakua mimi sijabobea kwenye hiyo sekta
#####
Yes — that’s a classic loophole in reservation systems. If the timer resets every time someone re‑books, then a determined user (or bot) could keep cycling through the “hold” process all day, effectively blocking seats without ever paying. That’s a form of resource hoarding sabotage.
⚠️ How it could be misused
🛡️ Ways to Secure Against This
- A bot script could auto‑reserve, wait until the timer expires, then instantly re‑reserve again.
- A malicious competitor could block seats to prevent genuine customers from buying.
- Even a single user could monopolize popular seats by repeatedly refreshing their hold.
🎯 Design PrincipleThe timer should protect genuine buyers who need a few minutes to pay, but it shouldn’t be exploitable as a way to “lock out” others. Balancing fairness and security means adding friction for abusers while keeping it smooth for real customers.
- Limit consecutive holds per account/IP: e.g., max 3 reservations per hour without payment.
- Require partial commitment: a small deposit or verified payment method before holding.
- Cooldown period: after a failed payment or expired hold, enforce a wait time before re‑booking.
- Behavior monitoring: flag accounts that repeatedly reserve without paying.
- Bot detection: CAPTCHAs, rate limiting, and anomaly detection to stop automated abuse.
- Queue system: instead of instant re‑booking, place users in a waiting line if they’ve already failed multiple times.
If you’d like, I can sketch a risk matrix showing this “timer reset abuse” alongside other sabotage types, with recommended defenses for each — that way you’d see the bigger picture of vulnerabilities and countermeasures. Would you like me to lay that out?
#####
Naam na inawezekana pia kua hata mambo haya hayafanyiki ila ni wao wamepewa rupia na wanaamua kuhujumu wao moja kwa moja kwa kua mshahara utaingia tu.
ngoja nijipe kazi kwa msaada wa AI kuangalia naweza pata dondoo gani
Haiwezi kuwa kila siku,kwa wingi huoHizi si ndio zile wamejitetea kuwa ni no show passenger...
naam ni kama masaa mawili hivi au hata zaidi website yote ya trc haifanyi kazi, nilikua nataka nipige trial and error kadhaaTangu jana jioni ticketi hazikatiki mtandaoni. Unagoma kufunguka
Bagonza, to me, is not an authority. hizo alizozitoa ni tuhuma kama tuhuma zingine na binafsi nikizisoma naona zinamapungufu vilevile.Soma hii
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
hakuna cha kugoma mtandao. Kama una ndugu yako mwenye cheo, just contct him/her, utapata tiketi.Tangu jana jioni ticketi hazikatiki mtandaoni. Unagoma kufunguka
are you a lawyer? Unataka ushahidi kwenye authority kwenye issue of this type? This is a matter of evidence! His statement can be corroborated by many witnesses/exhibitsnaam ni kama masaa mawili hivi au hata zaidi website yote ya trc haifanyi kazi, nilikua nataka nipige trial and error kadhaa
Bagonza, to me, is not an authority. hizo alizozitoa ni tuhuma kama tuhuma zingine na binafsi nikizisoma naona zinamapungufu vilevile.
upungufu wa kwanza ni yeye kusema madaraja yote yalikua yamejaa, na muda huo kataja tarehe za october 7 na october 8, ambazo ni jumatano na alhamis , mimi sijawahi kuona yale ma-royal kwenye mfumo yakiwa yamejaa. hivyo hayo maelezo yake mengine kwangu mimi ni kisiasa zaidi, --- hasa hapo anaposema wahudumu wamemwabia mfumo unafungwa ili watu wapande mabasi.
kwenye sakata hili tunataka tathmini na tafiti za kitaalamu, kwa kua wengi tushakubali kwamba mabehewa hua yanakua hayyajai na sababu zipo nyingi hata mtu kuchelewa au kubadilisha mipango yake ya safari , na vilevile hujuma.
wewe unakubali kwa sababu kasema bagonza ambaye ni askofu,are you a lawyer? Unataka ushahidi kwenye authority kwenye issue of this type? This is a matter of evidence! His statement can be corroborated by many witnesses/exhibits
Watumiaji wa kila wiki wa sgr tunajua hilo kitambo. Unakata tkt unakuta behewa limebaki seat mbili. Unaingia siku ya kusafiri unakuta seat kibao ziko tupu. Hii ni mara kwa mara iko hivo.Bila ushahidi usio na shaka hizi zitabaki ni tuhuma tu...weka picha tuone kuwa behewa lilitoka Dodoma hadi Dar likiwa tu
Wewe ni ****. Samahani modsWeka ushahidi wa hayo madai hapa,
Kuweka picha ya behewa na taarab pekee kwa wenye akili timamu ni wazimu.
Wagonjwa wa akili mmekuwa wengi mno humu.
Sijui anachobisha ni nini? Unakuta tiketi hamna online ila nafasi ndani zipo nyingi na hakuna anayepanda njiani.Na sio siku moja.Watumiaji wa kila wiki wa sgr tunajua hilo kitambo. Unakata tkt unakuta behewa limebaki seat mbili. Unaingia siku ya kusafiri unakuta seat kibao ziko tupu. Hii ni mara kwa mara iko hivo.