peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
Serikali haifanyi biashara. ,mradi gan serikali iliwah kufanya ikafanikiwa kwa asilimia hata 90?Hizi ni habari za kukariri. Achana nazo kabisa. Hii ni dunia tofauti na hiyo uliyokaririshwa takataka hizo.
TRC kuendesha shirika kwa faida nako kuwe nongwa? Hii akili inatoka wapi?
Utaniwia radhi mkuu 'TrueVoter' kwa haya ninayopishana nawe hapa leo; kwa sababu nakujuwa siku zote siyo mtu anayekurupuka.
Serikali ya ccm ipo mifukoni mwa wafanyabiashara wahuni.Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
..serikali hii ya tanzania haiwez kufanya biashara, why..1. aina ya watu waliomo ndani ya serikali, 2. sheria zetu za kazi ni mbovu 3. style za maisha ya watz wengi ni anasa na hivyo kazini ni kutafuta mianya ya kuiba ili ku-finance anasa 4. watz hawawezi kujisimamia wanataka kusimamiwa kazi na mnyapala..serikali haina wanyampala..Hizi ni habari za kukariri. Achana nazo kabisa. Hii ni dunia tofauti na hiyo uliyokaririshwa takataka hizo.
TRC kuendesha shirika kwa faida nako kuwe nongwa? Hii akili inatoka wapi?
Utaniwia radhi mkuu 'TrueVoter' kwa haya ninayopishana nawe hapa leo; kwa sababu nakujuwa siku zote siyo mtu anayekurupuka.
Sasa ukisema hivyo kuhusu hayo maneno ya mwanzo kuhusu serikali ya Tanzania, unaeleweka vizuri kabisa, tofauti sana na ile taarifa niliyoijibu hapo juu...serikali hii ya tanzania haiwez kufanya biashara, why..1. aina ya watu waliomo ndani ya serikali, 2. sheria zetu za kazi ni mbovu 3. style za maisha ya watz wengi ni anasa na hivyo kazini ni kutafuta mianya ya kuiba ili ku-finance anasa 4. watz hawawezi kujisimamia wanataka kusimamiwa kazi na mnyapala..serikali haina wanyampala..
Mbona imefanya mradi wa "kutufuga" waTanzania wote kama mifugo yake, ukiwemo na wewe na huyu mkuu 'TrueVoter' ambaye namheshimu sana kwa uelewa wake wa mambo mengi tu, ila anashindwa kuelewa jambo dogo kama hili hapa, na kuamua kutoa taarifa za kijumlajumla tu kama zile zilizotumika miaka ya vita baridi duniani.Serikali haifanyi biashara. ,mradi gan serikali iliwah kufanya ikafanikiwa kwa asilimia hata 90?
Angalia lipoti ya CAG
•
• TRC (Reli) – Inaongoza kwa hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni 224.
• ATCL (Ndege) – Inafuatia kwa hasara kubwa (zaidi ya Shilingi bilioni 191 kwa mwaka ).
• TTCL (Mawasiliano) na Shirika la Posta (TPC) – Yote yanasajili hasara za makumi ya mabilioni.
• Mengine kwenye Hasara: Mkulazi Holding (Sukari), Kampuni ya Ngozi Kilimanjaro, na TSN (Magazeti ya Serikali).
Inasikitisha sana..Kutakuwa kuna mchezo machafu wa wahuni
Kampuni yetu ya mabasi tutapata wapi abiria.Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
Serikali haifanyi biashara. ,mradi gan serikali iliwah kufanya ikafanikiwa kwa asilimia hata 90?
Angalia lipoti ya CAG
•
• TRC (Reli) – Inaongoza kwa hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni 224.
• ATCL (Ndege) – Inafuatia kwa hasara kubwa (zaidi ya Shilingi bilioni 191 kwa mwaka ).
• TTCL (Mawasiliano) na Shirika la Posta (TPC) – Yote yanasajili hasara za makumi ya mabilioni.
• Mengine kwenye Hasara: Mkulazi Holding (Sukari), Kampuni ya Ngozi Kilimanjaro, na TSN (Magazeti ya Serikali).
Imagine hata mm nilikosa nafasi na siku nakuja siti ilibaki moja nikakata iyoiyo, ila kufika ndani ya treni siti kibao zilikua empty nikajiuliza hii inakuwaje ni kwamba watu wanaahirisha safari ama ni nini??
Ukifanya booking unapewa muda maalumu wa kulipia there after ine expirenina swali je, kuna tofauti kati ya kufanya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha ni je ukifanya booking ni lazima uinunue tiketi au kuna adhabu yoyote kama fine labda kama ukifanya booking halafu usisafiri?
nauliza hivyo kwa maana inawezekana pia labda watu wakafanya booking halafu wasisafiri? najaribu tu ku-brainstorm kuelewa jinsi mfumo wao unavyofanya kazi ...
Cc Dkt. Gwajima DHapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
hayo pia yapo air Tanzania. nenda kata tiketi ya china leo utaambiwa imejaa. siku ya safari.hata nusu ya abiria haina. basi ndio hivyo tena .Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
Sidhani kama kuna kufanya booking. Either you buy a ticket or you do not! hapa ngoja waje wazoefunina swali je, kuna tofauti kati ya kufanya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha ni je ukifanya booking ni lazima uinunue tiketi au kuna adhabu yoyote kama fine labda kama ukifanya booking halafu usisafiri?