Inaumiza sana aisee.Mimi niliwahi kufanya booking SGR na sikusafiri sababu nilichelewa kidogo.
Na ni kawaida sana Kukuta SGR no sit available kwenye mfumo hata kwa siku 3 kabla ya safari , ndio maana watu wanaBook mapema . Ikiwa u asafiri Leo na ukafanya booking siku hiyo hiyo au Jana yake ni ngumu kupata ticket.
Watu wengi wanaBook wiki au siku 4 kabla ya safari , hizo ni siku nyingi mtu anaweza kupata dharura hapo inakuwa hela imeenda ni ngumu kurudishiwa kwa hiyo seat yako itainekana Ina mtu halafu ndani hakuna Iko empty
Mawakili wepi? Katuga na Ajuaye? Unachekesha wewe.mawakili wanaharakati na wanahabari hawawezi kuungana hat kwa wiki moja wakafanya uchunguzi wa siri , kwa kupanda treni zote ndani ya hiyo wiki kurekodi mabehewa, na kila safari kuifatilia ujazaji wa siti kwenye mfumo, alafu wafungue shitaka la kuoneshwa mapato yaliyoingia katika nyakati tofauti ikiwemo zile siku ambazo wamefanya uchunguzi.
jambo hili linawezekana?
Bora wewe umesema ukweli, maana watu wanazunguka tu, wakati Shabiby na Abood wanashindana kushusha buses nchini, LolUkiona Abood anaongeza mabasi mapya wakati kuna SGR lazima ujiulize kulikoni!
TRC watakuja na majibu ya uongo kama kawaida yao.
Na hiyo "serikali ya Tanzania kutofanya biashara" ndiyo iwe amri, siyo?Ukweli ni kwamba serikali ya Tanzania haiwezi kufanya biashara huo ndo ukweli wenyewe
Hao clouds hawaogopi? Unadhani Abood ni yake pekee ma bus aliyoshusha? Ni king na Prince wako humo.Crouzy media naomba ndani ya wiki hii mmtafte mkurugenzi mkuu mhandisi Masanja machbya shiwa wa sgr ,ktk kipindi chenu cha pb na 360. Ajibu hizi Tuhuma
Nchi imegeuka kuwa pango la Walanguzi
Hawawezi kujibu kwa sababu wanajua michezo yote ..nakumbka Kuna siku crouzy media walikuwa wanapga cm ktka tasisi za UMMA kitengo Cha huduma kwa wateja kujua ukweli wa huduma ilikuwa ni aibu ,Tasisi zilikuwa hazipokei cm.bila shaka mhimbili walipokea simu .Nilipanda train kutoka dar to dom royal
Hiyo seat mimi nilikua abiria wa mwisho kuipata.. tulipopanda pale Dar seat nyingi zipo wazi. Nikajua labda kuna abiria watapandia njiani.
Lakini mpaka tunafika dom hakuna abiria yoyote, Hata Moro hakukua na abiria aliyepanda..!! Ilinishangaza nikajiuliza iki nini??
Inatakiwa mamlaka walijibiwe.
Hivi si wana id yao humu?
Mahakama zipi mkuumawakili wanaharakati na wanahabari hawawezi kuungana hat kwa wiki moja wakafanya uchunguzi wa siri , kwa kupanda treni zote ndani ya hiyo wiki kurekodi mabehewa, na kila safari kuifatilia ujazaji wa siti kwenye mfumo, alafu wafungue shitaka la kuoneshwa mapato yaliyoingia katika nyakati tofauti ikiwemo zile siku ambazo wamefanya uchunguzi.
jambo hili linawezekana?
Jambo lisilowezekana kabisa kufanyika katika utawala haram uliopo sasa; kwa sababu ni utawala wa hao hao wanaohujumu.Dawa ni kuwashughulikia wahujumu.
Tutalia mpaka lini ,?Hao clouds hawaogopi? Unadhani Abood ni yake pekee ma bus aliyoshusha? Ni king na Prince wako humo.
Wahuni bila kuwa kwenye mnyororo wa wakubwa hawawezi.Kutakuwa kuna mchezo machafu wa wahuni
mahakama hizohizo tunakwenda na haki tunapata mkuu, kuna tofauti kubwa ya kwenda mahakamani kutaka kumtoa rais madarakanin na kupambania haki fulani.Mahakama zipi mkuu
Hizi za maelekozo
Inasikitisha sana!!Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
Mbona ni mara kibao tu, hata Mimi nishajiuliza sana ..kwanini ukiingia online kukata una ambiwa "No seat Available"Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Soma hii maana nilitaka identify ya mtu isiwepo. Ngoja niiweke
Ameandika Askofu Bagonza
NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR
1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.
2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.
3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.
4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.
5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.
Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
Umezungumza vyema sana, na kwa kuongeza tu juu ya tuhuma ya Askofu Bagonza kuwa na ukakasi mwingi ni pale anapodai aliweza kutembea behewa zote akaona ziko tupu kwa kiasi kikubwa, manake anajaribu kusema aliweza kunyanyuka alipoketi na akaanza kuzurura ndani ya train!naam ni kama masaa mawili hivi au hata zaidi website yote ya trc haifanyi kazi, nilikua nataka nipige trial and error kadhaa
Bagonza, to me, is not an authority. hizo alizozitoa ni tuhuma kama tuhuma zingine na binafsi nikizisoma naona zinamapungufu vilevile.
upungufu wa kwanza ni yeye kusema madaraja yote yalikua yamejaa, na muda huo kataja tarehe za october 7 na october 8, ambazo ni jumatano na alhamis , mimi sijawahi kuona yale ma-royal kwenye mfumo yakiwa yamejaa. hivyo hayo maelezo yake mengine kwangu mimi ni kisiasa zaidi, --- hasa hapo anaposema wahudumu wamemwabia mfumo unafungwa ili watu wapande mabasi.
kwenye sakata hili tunataka tathmini na tafiti za kitaalamu, kwa kua wengi tushakubali kwamba mabehewa hua yanakua hayyajai na sababu zipo nyingi hata mtu kuchelewa au kubadilisha mipango yake ya safari , na vilevile hujuma.
ni kweli changamoto zipo ila wasipotoshe kupitiliza wanapowasilisha hoja zao wakitegemea tukubali manenom yao kama yalivyo kwa heshima ya nyadhifa zaoUmezungumza vyema sana, na kwa kuongeza tu juu ya hujuma ya Askofu Bagonza kuwa na ukakasi mwingi ni pale anapodai aliweza kutembea behewa zote akaona ziko tupu kwa kiasi kikubwa, manake anajaribu kusema aliweza kunyanyuka alipoketi na akaanza kuzurura ndani ya train!
Kwa haiba yake hawezi afanya hilo jambo la uzururaji kwenye traini kuazia mwanzo wa safairi hadi mwisho wa safari, japo hata hivyo kwa siku ya J5 na Alhamisi sio rahisi kukosa ticket kwa Royal express train (120k -150k) na anaekataa afanye utafiti rahisi kabisa kwa mfululizo japo wa mwezi 1 ataleta majibu/ushuhuda hapa, pili kwenye taarifa yake ameendelea kusistiza uwepo wa ECONOMY CLASS kwenye Royal Express Train na hapo pia unaona huyu Baba Askofu hapo ameteleza kwani anaonyesha wazi kuwa alikuwa kabeba ujumbe wake wa kuzunguzia Usafiri wa SGR akiwa bado hajasafairi na hivyo nafsi yake inamlazimisha aseme tu mbele kwa mbele roho yake ipone.
Ila tu Baba Askofu naeza kumuelewa kwa jambo moja kuna mahali kama nmemuelewa amedai alisafiri kwa mara ya kwanza na SGR, sasa huenda hakuweza kukata ticket kikamilifu basi akafikiri ticket hazipo na akapewa msaada, vinginevyo anatulisha matango pori kiana