Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Duh!! Kuna Watu hawajui kuomba hela kabisa yan.
Hela ndiyo zinaombwaga hivyo kirahisi?
Hata hajaitikia salamu?
kaka zetu mna shida 🀣🀣🀣🀣
Sasa Depal ulitaka aombe Kwa ugumu?
 
Sasa Depal ulitaka aombe Kwa ugumu?
Ndio hata asiitikie salamu?

Sawa kuna ambao tushawapanda vichwani.. lkn why umuonyeshe kwamba uko juu ya kichwa chake?

Umesalimiwa.. itikia.. ita babe ya kinafki, aitike. Sema shida yako ya hiyo afu30

Sasa wifi yetu pale dah πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata me sikupi
Kama ndo rafiki angu umeniomba nakusuta kwqnza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Manzi anaonekana hana mapenzi na wewe ila we unajiresi sana kama fuso inaajastiwa breki

Demu anakujibu shortly we unajielezea page 3 vunga man kaza Acha kujilegeza utaishia kuwapa hela hao madem hakuna maendeleo utafanya.
 
Kwanini azunguke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo mrembo yupo straight forward
 
Duh!! Kuna Watu hawajui kuomba hela kabisa yan.
Hela ndiyo zinaombwaga hivyo kirahisi?
Hata hajaitikia salamu?
kaka zetu mna shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kashamfanya boya kijana wa watu masikini. Anamuona kama ATm ya benk mda wowote sasa yoyote anaweza dai hela na akapata.
 
Manzi anaonekana hana mapenzi na wewe ila we unajiresi sana kama fuso inaajastiwa breki

Demu anakujibu shortly we unajielezea page 3 vunga man kaza Acha kujilegeza utaishia kuwapa hela hao madem hakuna maendeleo utafanya.
Ahahahaha kukaza kipaji mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ahahahaha kukaza kipaji mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kitendo cha kujibu kama vile namsumbua hapohapo huwa nafuta namba hata awe mzuri kama malaika sitamtafuta tena hadi siku kiama kinasimama dunia hii.
 
Kitendo cha kujibu kama vile namsumbua hapohapo huwa nafuta namba hata awe mzuri kama malaika sitamtafuta tena hadi siku kiama kinasimama dunia hii.
Dadeq πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kama una huo msimamo wee so poa kabisa.. khaaa
 
Duh!! Kuna Watu hawajui kuomba hela kabisa yan.
Hela ndiyo zinaombwaga hivyo kirahisi?
Hata hajaitikia salamu?
kaka zetu mna shida 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚ sikupi hiyo hela na utelezi wako sitak
 
Masikini! Kumbe mtoto wa mama mkwe ana bahati sana?
Mapenzi yanapoteza maana, wanawake wamebaki wachache wengi wadangaji!

Sasa ukute mtu hapo yuko serious anataka mahusiano serious ndio mambo kama hayo! Poleni wanaume, kweli nimewaonea huruma sana.
Ndio wengi walivyo yani ni taabu kweli kweli
 
Dadeq πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kama una huo msimamo wee so poa kabisa.. khaaa
Wote ni binadam tofaut jinsia ukiona anakufanya kama ni mtu fulani ambae hauna umuhimu kwake na wewe inatakiwa umpunguze kikatili hadi asiamini kama ndo wewe
 
Achana na mahesabu marefu hivyo Babu,Tafuta Hela elfu 30 kitu gani?sema demu kazingua Hana hisia hata kidogo na mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…