Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mwezi wa kwanza: Sasa ndugu yangu unajua kwanini nimekwita tukutane hapa?
Nepi: Hapana ndugu yangu, hebu niambie..
Mwezi wa kwanza: Mimi nina nia ya kupambana na yule mama katika kinyang'anyiro cha kumpitisha mgombea wa chama katika uchaguzi mkuu, hivyo kama katibu mwenezi mstaafu, ninaomba sana support yako ili kuniongezea nguvu ya kumbwaga yule mama.
Nepi: enhee nikishakupa support halafu ukifanikiwa kupita na kumbwaga yule mama, mimi nae utanilipa nini kama fadhila. Maana ujue hapo utakuwa umeniweka kwenye hatari kubwa kichama hasa kwa mtu alieniamini na kunikubali kama mama?
Mwezi wa kwanza: Wewe usiwe na shaka ndugu yangu, hilo la kukulipa fadhila mimi nalijua sana. Na tulishakaa na mzee tukapanga kuwa wewe nitakupa ukiranja wa mawaziri wote.
Nepi: You mean uwaziri mkuu?
Mwezi wa kwanza: Ndio ndugu yangu au wewe unaonaje?
Nepi: Hapo sawa ndugu yangu, nitakuwa nyuma yako kwa support yoyote utakayoihitaji, kikubwa usije kunigeuka kama Msoga alivyomgeuka hayati Monduli hadharani.
Mwezi wa kwanza: Aa wapi ndugu yangu mimi sio Msoga na kamwe siwezi kufanya hivyo.
Nepi: Sawa ndugu yangu... kuna lingine?
Mwezi wa kwanza: Hakuna lingine, kikubwa tu hili liwe siri yetu mimi na wewe mpaka muda utapofika wa kuanza kampeni zetu za chini chini.
Nepi: Haina shaka ndugu, nakuaminia kaka.
Mwezi wa kwanza: Haya asante ndugu yangu.
Baada ya kikao chao wakaagana.