Angalia picha zinaongea zenyewe kuhusu wale vijana waliotimuliwa katika wizara zao

Angalia picha zinaongea zenyewe kuhusu wale vijana waliotimuliwa katika wizara zao

Unanikumbusha jamaa mmoja humu ilikua 2015 mwanzoni, alikua na hizi ndoto kwa lowassa. Ulikua humuambii kitu kuhusu lowassa😂
Alikua na pumzi ya kubishana na kuweka post za kila aina kuwa lowassa lazima awe raisi.
Sijui sasa hivi yuko wapi yule jamaa, siasa ukiwa na hulka kama yako utakufa kwa ugonjwa wa moyo
Huenda yupo humu ila kabadilisha tu ID na mtu wa kum support 🤣🤣
 
Alikua anasumbua sana, tulikua tunamuambia tuliza wenge mambo hayaendi vile unavyopenda ww

Huyu sexless nae kawehuka toka makamba katenguliwa, hana furaha kabisa ana maumivu makali. Mambo hayapo vile tunatamani yawe
Tatizo humu watu wanatumia ID tofauti na majina ya kweli. Mfano huyo jamaa aliekuwa anasumbua huenda alikuwa yule mtoto wa Lowasa ambae leo hii ni mbunge kupitia CCM. Hivyo baada ya baba yake kushindwa akaamua kubadilisha ID nyingine ili msimsumbue kumuuliza sababu za alietegemea kushinda ameshindwa.

Mfano katika post za juu kuna jamaa anasema kuwa ni lazima January atakuwa raisi tu iwe mvua iwe jua. Huyo ukute pengine ni January mwenyewe ila anatumia ID fake ili asijulikane.
 
Back
Top Bottom