Angalia picha zinaongea zenyewe kuhusu wale vijana waliotimuliwa katika wizara zao

Wanapanga kupindua meza hapo
 
MAKAMBA na NAPE ni watoto wadogo mno (kisiasa), hawawezi kuongoz nchi hii. Ndani ya CCM, mtu anayeweza kumrithi Mama na akaendeleza mema yote ni Dr. Nchimbi.
 
MAKAMBA na NAPE ni watoto wadogo mno (kisiasa), hawawezi kuongoz nchi hii. Ndani ya CCM, mtu anayeweza kumrithi Mama na akaendeleza mema yote ni Dr. Nchimbi.
Vipi Majaliwa, Hussein Mwinyi na Bashungwa.
 
Vipi Majaliwa, Hussein Mwinyi na Bashungwa.
Sikiliza Anko, Mh. Majaliwa atabaki na heshima kubwa akiishia hapo alipofikikia. Kwa busara zake naamini hatakuja kutamani kuwa Rais, japo wananchi wanampenda. Bashungwa mtoe kabisa kwenye kinyang'anyoro, ni mchanga sana. Mh.Mwinyi anaweza kutuvusha, ila atapambana na silka za Uzanzibari na kurithi u-baba wake. Lakini mpaka sasa nampa CREDIT.
 
Hekaya za abunwasi hizi.
 
Majizi wapo katika peack zao
 
Sikiliza Anko, Mh. Majaliwa atabaki na heshima kubwa akiishia hapo alipofikikia. Kwa busara zake naamini hatakuja kutamani kuwa Rais, japo wananchi wanampenda.
Kwanini unafikiria akiishia hapo itakuwa bora na heshima zaidi kwake kuliko akiwa raisi akakabidhiwa rungu na kufanya vizuri zaidi, maana hatokuwa na mtu wa kumfunga kengele wala kumzuia kufanya kile anachoamini ni kizuri kwa mustakabali wa taifa?
Bashungwa mtoe kabisa kwenye kinyang'anyoro, ni mchanga sana.
Mchanga kiumri, kisiasa au kiuongozi?
Mh.Mwinyi anaweza kutuvusha, ila atapambana na silka za Uzanzibari na kurithi u-baba wake. Lakini mpaka sasa nampa CREDIT.
Mwinyi kila mtu sasa anafaham kuwa ni mtanganyika original, japo baba yake alienda Zanzibar kusoma dini na kuamua kuchukua uraia wa kule. Lakini hilo halimuondolei uasili wake wa huku na ndiomaana aliwahi kuwa mbunge wa mkuranga kwa zaidi ya miaka 20. Baba yake mwenyewe mzee Mwinyi ana makazi na mashamba kibao huko kwao Mkuranga. Sasa hayo mambo ya yeye kusema ni mzanzibar yatatoka wapi na ukizingatia hii nchi kwa sasa ni moja?
 
Nchi apewe mpina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…