Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #81
Kweliyote kwa yote hao jamaa wanafanya kazi sana tena kwa speed kali.
Mama kafanikisha ila chawa hawafai hata kidogoSamiah anavyosifiwa Sasa.
Duuh! Hatari sana sisi hatupo kabisa level hiziWorld's longest high-speed rail networks 🚆 :
🇨🇳 China: 40,474km
🇪🇸 Spain: 3,661km
🇯🇵 Japan: 3,081km
🇫🇷 France: 2,735km
🇩🇪 Germany: 1,571km
🇫🇮 Finland: 1,120km
🇹🇷 Turkey: 1,052km
🇮🇹 Italy: 921km
🇰🇷 South Korea: 873km
🇸🇪 Sweden: 860km
🇺🇸 USA: 735km
🇸🇦 Saudi Arabia: 449km
ni nderemo kwa kweliView attachment 2972181
Hii nchi ni kama ina laaana. Eti chuma. Ni kama makatuni kumbe ndio watu
Hivi ndio vyuma sasa
Ila sisi zetu tunaziua wenyewe refer reli ya kati na Tazara.Ndugu mtoa post kwanza unakosea sana kulinganisha tz ma china kwa miundo mbinu. Hawa ni first class, wanambana na mataifa makubwa kiuchumi sahizi. Kuhusu relintz ndio kwanza inaanza, taratibu , china hawakuanza na nyingi taratibu mpaka wamefika hapo
Pia population yao ina demand wawe na miundo mbinu ya kutosha
Kweli aiseehMchina ni mkongwe ana historia kubwa, hii ya kwamba tulikua uchumi unalingana mimi nasema alipitia kipindi kigumu akafight kurudi kwenye level zake, sisi hata kupata historia yetu tu ya miaka ya zamani huko 1300 na kurudi nyuma ni tabu,
Kwa hiyo sisi hatuna uharaka tupambane tu na hali zetu ?Unaongelea nchi yenye 1.42+ billion people, ushawahi jiuliza wako bize kiasi gani..?? Ushawah jiuliza muingiliano wa majiji yao (ingia toka) upo bize kiasi gani..??
Ukipata jibu ndio utajua kwanini wanamiliki madude yote hayo
Na hatutakuja kufikia hizo levelDuuh! Hatari sana sisi hatupo kabisa level hizi
Inahuzunisha
Eti tunajisifu limesafiri masaa 4 Dar-Dom hilo treni au mkokoteniHivi ndio vyuma sasa
Kwenye hiyo level nchi nzito tu kweli tutasubiri sana tusipotaka kubadilikaNa hatutakuja kufikia hizo level
Imebid nizihesabu kama sio 40 ni 39 kmmk wachina mwisho wa matatizoDuuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chiniView attachment 2972132
Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡
Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
Hapo zengine ni double, zimeunganishwa mara mbiliImebid nizihesabu kama sio 40 ni 39 kmmk wachina mwisho wa matatizo
Hii ni nchi ya hovyo sana kuishi Tanzania ni laanaKwenye hiyo level nchi nzito tu kweli tutasubiri sana tusipotaka kubadilika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KIMOJA wanaalikwa mapadre na masheikh wafunge maombi[emoji16][emoji16][emoji16] tunauongozi wa ajabu sanaUhakika
Hapo ndege za ndani zipo za kutisha, mabasi kama daladala ya kutosha.
Halafu na machatu ndio kama utitiri huo wapo serious sana sisi tunacheza kabisa