Kuna scenario moja tu, nayo ni kwamba maandamano hayatafanyika na kura tutapiga kwa amani japo turn out itakuwa ndogo.
Hili limekwisha, tuangalie tunavuka vipi 2030.
Maandiko yako yameshapitwa ma wakati. Staafu tu.
Maandamano hayatakuwepo, kwasababu wabongo wengi wana akili kama zako.
KUSIKILIZIA mtu fulani afanye, wao wanajiona hawahusiki.
Kila mtu atakaa kwake KUSIKILIZIA kama wewe, kwahiyo maandamnao hayatakuwepo.
Kuelekea 2030 kutakuwa na UTEKAJI JUU YA UTEKAJI, kila mmoja ataokotwa kwa wakati wake.
A nation with NYUMBU DNA.
This is the worst case kwa namna nyingi tu...lakini unaona Ruto alivyodhoofishwa...Scenario nyingine ni Kama ilivyotokea Kenya. Maandamano yanaanzshwabna Gen Z wanauwawa, Kwa hasira maandamano yanachukua sura nyingine vurugu na Bungeni kinavamiwa, linachomwa. Hatimaye zinakoma Hali kuwa vifo na uharibifu mkubwa wa mali imetokea. Cha ajabu Rais unayetegemea atajiuzuru anaendelea kudunda na nchi inarudu Kama kawaida😩😩
Sidhani kama number zinazingatiwa hapa kitendo cha watu kwenda kutimiza wajibu wao kikatiba Hata wakiwa wachache namna gani kwa nyakati hizi inatosha... !wasioungwa mkono.
Sidhani. Kwa mazingira yoyote yale reforms zitakuwepo ila sio reforms mnazotaka nyie Chadema bali reforms za kukidhi matakwa ya watanzania.Kama watu hawatatoka kabisa au mwitikio ukawa mdogo .... ni kweli kabisa hawa CCM watajimilikisha nchi rasmi na kuanzia siku hiyo watafanya lolote na chochote kama wanavyopenda.
Sidhani kama number zinazingatiwa hapa kitendo cha watu kwenda kutimiza wajibu wao kikatiba Hata wakiwa wachache namna gani kwa nyakati hizi inatosha... !
Naunga mkono hoja, hakuna maandamano yoyote, October 29 ni kazi moja tuu, kupiga kura kuwachagua viongozi tunao watakaMkuu tutarudi hapa tena. Mimi nakuhakikishia kuwa maandamano hayatokuwapo. Unachokiona kwenye mitandao ya Jamii (Twitter, Instagram, FB na Tiktok) hizo ni kama challenge tu za nani ana maneno makali kuhusu "maandamano". Wanarekodi ma ku post sawa na wanavyojirekodi nyimbo za wasanii
Kama idadi ya wapiga kura itakuwa chini sana kuliko miaka mingine basi ujumbe mwingine utakuwa umetumwa kuhusiana na uhalali wa aliyechaguliwa. Of course hakuna threshold iliyowekwa wa wapiga kura wanaofanya uchaguzi uwe halali as long as anayechaguliwa amepata kura nyingi zaidi (50%+1)Sidhani kama number zinazingatiwa hapa kitendo cha watu kwenda kutimiza wajibu wao kikatiba Hata wakiwa wachache namna gani kwa nyakati hizi inatosha... !
Ningeshangaa wewe Pascal Mayalla uwe na mawazo tofauti na haya!Naunga mkono hoja, hakuna maandamano yoyote, October 29 ni kazi moja tuu, kupiga kura kuwachagua viongozi tunao wataka
P
Mshindi wa uchaguzi wetu ni by a simple majority, hata kama wapiga kura ni million 30, kisha wakajitokeza wapiga kura watatu tuu, mgombea mmoja akapata kura 2, mwingine kura moja, yule mwenye kura moja, ni mshindi halali kisheria ila bila kuwa na legitimacy, yaani legally right but without legitimacy.Kama idadi ya wapiga kura itakuwa chini sana kuliko miaka mingine basi ujumbe mwingine utakuwa umetumwa kuhusiana na uhalali wa aliyechaguliwa. Of course hakuna threshold iliyowekwa wa wapiga kura wanaofanya uchaguzi uwe halali as long as anayechaguliwa amepata kura nyingi zaidi (50%+1)
Hapo sasa italazimu tukae chini kwa ajili ya maridhiano..Maandamano kiduuchu.
..Na wapiga kura kiduuchu.
..Katika mazingira hayo watakaotangazwa watakuwa ni watu wasioungwa mkono.
..Je, hatutarudi kwenye mduara uleule wa harakati, hofu, kutekana, na kupotezana?
Hapo sasa italazimu tukae chini kwa ajili ya maridhiano
Maridhiano hutokea baada ya mapigano na michafuano...ndiyo yaliyotokea Zanzibar wakati ule na hivi karibuni huko Kenya. Kama hakuna maandamano yenye kutikisa nchi hakutakuwa na maridhiano...Maridhiano ni baina ya pande zinazohasimiana, zilizokosana,au zilizoumizana.
..Sasa madai ya Ccm dhidi wapinzani yatakuwa ni nini?
..Kwa mfano, Ccm wamekosewa nini na wapinzani?
..Nina wasiwasi huenda kukawa hakuna hicho kinachoitwa maridhiano.
Maridhiano hutokea baada ya mapigano na michafuano...ndiyo yaliyotokea Zanzibar wakati ule na hivi karibuni huko Kenya. Kama hakuna maandamano yenye kutikisa nchi hakutakuwa na maridhiano.