johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Alianza kupiga mkwara pale wilayani Mwanga lakini Apson na Lubuva wakamkazia macho.Amezidi kuota MAPEMBE
lema ni mpuuz tu hajafanya chochote arusha, wanaomshabikia ni wahuni tu, hamna cha maana alichofanya arusha zaidi ya kujiimarisha mwenyewe kiuchumi, kazi kutwa kushinda kwenye mitandao na maneno maneno tu mitandaoni na kushinda mahakamani
...na wanampigia muhuni mwenzao...!Tatizo la Arusha...... Wahuni wanapiga kura!
Siasa za kijinga kabisaAlianza kupiga mkwara pale wilayani Mwanga lakini Apson na Lubuva wakamkazia macho.
Pale Mwanga DED Lubuva aliwapakazia Tarura kwamba hawampi ushirikiano sasa Waziri kamalizia hasira Arusha kwa mtu asiyestahili.
Nina imani Rais Magufuli ataliangalia hili!
Kiukweli Arusha hawashtuki kabisa na hayo mambo. Lema angewaita wangemwagika kama siafu na nyuki. Kuita wananchi ni kazi ya Mkurugenzi wa hilo jiji anashirikisha wataalam wake wa kata ambao hufikia wananchi huko kijijini na mitaa. Aisee udhalilishaji huu.
Wewe buku 7 unaiona ndogo?Mataga bila buku 7 hawezi kuvaa shati la chama na kwenda kushangilia barabara tena kwenye mkoa ambao wamezaliwa wamezikuta hizo barabara.
Mataga kutokuwepo kwenu kwenye kushangilia hii barabara mmesababisha hasira zote ameshushiwa meneja wa mradi ambaye sio mwanasiasa.
......na kumpeleka bungeni!...na wanampigia muhuni mwenzao...!
Yani mhandisi alitakiwa alipe mataga pesa waje kushangilia barabara.Mkuu mimi niwaza sawa na wewe aliefukuzwa ni mhandisi sio mwanasiasa
Ndiyo muelezeni Jafo upinzani sio uadui maana anamgombeza meneja wa mradi anamuambia eti yeye ni mpinzani.Wewe buku 7 unaiona ndogo?
Dr Mashinji alichangiwa na wanaccm ili asifungwe jela kama ambavyo mchango wa wanafamilia wa mchungaji Msigwa walioko CCM mchango wao ulitumika kumtoa Mbowe jela tena akiwa shambani analima!
Siasa siyo uadui!
Jaffo kwakweli amemuonea sana huyu mhandisi. Eti: huu mradi si ni wa kwako? Eeh funga virago uondoke!! Hapana, Jaffo kaharbu kila kitu.Alianza kupiga mkwara pale wilayani Mwanga lakini Apson na Lubuva wakamkazia macho.
Pale Mwanga DED Lubuva aliwapakazia Tarura kwamba hawampi ushirikiano sasa Waziri kamalizia hasira Arusha kwa mtu asiyestahili.
Nina imani Rais Magufuli ataliangalia hili!
Engineer hakuwa aware na ule Usanii wa CCM kusomba watu na Ma FusoSi kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika.
Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa.
Watu kuja kushuhudia ufunguzi wa miradi inabidi wahamasishwe na wanasiasa wa CCM siyo watendaji au wataalamu.
Ni angalizo tu.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo Ufipa bado mnakodisha mafuso?!Engineer hakuwa aware na ule Usanii wa CCM kusomba watu na Ma Fuso
Kuna Watu humu wanamtabiria Urais 2025. Mungu atuepushie mbaliKwa kitendo alichofanya huyo Jafo hafai hata kidogo
lema ni mpuuz tu hajafanya chochote arusha, wanaomshabikia ni wahuni tu, hamna cha maana alichofanya arusha zaidi ya kujiimarisha mwenyewe kiuchumi, kazi kutwa kushinda kwenye mitandao na maneno maneno tu mitandaoni na kushinda mahakamani
Kwa sababu itakuwa zamu yao!Kuna Watu humu wanamtabiria Urais 2025. Mungu atuepushie mbali