Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Duuuh Sasa huko Ulaya wameshindwa hata kupambana kupata vjiela vya kujengea bongo, au ndio ile good life wanataka.
Akya Mungu Mimi nikidondoka Ulaya ntajifunza lolote la kunipa vijihela. Hapa bongo hata kujitolea gereji mpaka nilipe ada!!
 
Hata mm ningejipa 3yrs ningejenga aise..ningeacha anasa zote
Nchi nzuri unayoweza fanikiwa kwa hili labda Canada

Kuna mdada alitoka bukoba vijijini huko hata la saba sijui kama alimaliza, katika harakati za kutafuta maisha huku na kule akiwa binti ndogo akapelekwa huko kama kibarua. sasa hivi yuko mbali sana na ana watoto kabisa anasomesha. Wapo wengi sana. Kama uko vizuri mwenye kifaransa na kiingereza unatoka hata kwa vibarua

Mimi nawaza ningekua vyema ningeenda huko.

Nchi za wenzetu unalipwa kutokana na masaa uliyofanya kazi, tofauti na huku unapangiwa tu malipo ya aina moja
 
Huko Canada skuizi kuingia ni nguma Kama kuingia peponi labda umpate native wa kule ndyo akuchukue wenzetu wanaijeria wanasaidiana akitoboa mmoja analeta wengine kumi ndyomaan huku SA hawawapendi wanaijeria wapo vizuri
 
Huyu shemeji yangu alikua canada pia..alivhofanikiwa amerudi na masters...basi...mie maisha yyt yale jaman naishi mradi nilipwe...mie bas tu nna familia tayari ..la sivyo nikujilipua
 
Huko Canada skuizi kuingia ni nguma Kama kuingia peponi labda umpate native wa kule ndyo akuchukue wenzetu wanaijeria wanasaidiana akitoboa mmoja analeta wengine kumi ndyomaan huku SA hawawapendi wanaijeria wapo vizuri
Kuna kipindi huwa kirushwaga DSTV kinaitwa secuty kwa Nchi mbalimbali lakini kwa Canada na Australia ni ngumu sana wako mno makini.
 
Na hii ndio inawa-hunt majority.

Nayajua na ninao watu wangu wa karibu waliokumbwa na zahma hilo
 
Good
 
Mimi Durban kaka nilienda Mozambique malamoja nimevutiw nataman niende KUHUSU magaidi Hawa wapo kaskan
Mimi ni Dar Tandika.
Mwezi January mwaka nilikuwa na mpango wa kwenda lakini nikaja kupata bahati ya kuujua ndani wa magaidi ikanibidi niwe mpole kwa safari yangu nilikuwa ni ktk miji mitatu Chimoyo,Beira na Kilimani.
Mozambique mipango ipo mingi ya kuingiza fedha tena kwa issue za kawaida Mgahawa na shughuli nyingine nyingi.
Durban vipi huko japokuwa South kwa sasa sipapendi kwani umri nilionao sio kuvutiwa na American stail ambayo naiona itanipotezea muda kwani ukiangalia Wabongo wengi kinachowadanganya ni American stail.
Kuna jumba lilikuwa linaitwa Darton ambalo ndo ilikuwa maskani ya Mabahari na Machafuchafu bado ipo kwani ni miaka mingi sana
 
Huyu shemeji yangu alikua canada pia..alivhofanikiwa amerudi na masters...basi...mie maisha yyt yale jaman naishi mradi nilipwe...mie bas tu nna familia tayari ..la sivyo nikujilipua
Kule nliambiwa kazi za viwanda na uzalishaji ndo zina kipimbele zaidi.
Kama una fani yako na nguvu jilipue

Huyo na masters yake alifeli wapi?
 
Kweli kabisa Tanzania rasilimali zetu nyingi bado bikra kabisa. Tatizo mitaji na sera za wazawa kuwekeza.
 
Exceptional kwa wapemba! Wana umoja!
Nenda U.S. nenda U.K., nenda Sweden Norway, watz, hawana asili ya kushikana, roho za kwanini kwa asilimia kubwa, wanaoweza kushikana labda watu wa familia 1.

Wenzetu bamutubaCongo, Ghanaians, Naija, Ethiopians, Somali, Waganda wanashikana ndiyo maana wana diaspora community tofauti na sisi.

Everyday is Saturday................................😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…