Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Duuuh Sasa huko Ulaya wameshindwa hata kupambana kupata vjiela vya kujengea bongo, au ndio ile good life wanataka.Kwenye familia yetu wapo wawili, mmoja 37, another kwenye late 40s, jamaa hawana chochote, wanaona hata aibu kurudi home, wote elimu yao ni form 6, and walifaulu vizuri tu, ujuaji mwingi wakaamua waende Ulaya. No kids, no house! Wakirudi wanafikia home na kwenda kushinda Samaki samaki siku nzima, wanasema hata wakirudi tz kuishi watafanya nini sasa? Hamna hata pa kuanzia, bora wapate fedheha huko Ulaya kuliko tz. Marafiki zao wote waliowaacha tz wapo very stable financially kibongo bongo
Akya Mungu Mimi nikidondoka Ulaya ntajifunza lolote la kunipa vijihela. Hapa bongo hata kujitolea gereji mpaka nilipe ada!!