Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Ngumu kuielewa na kuaiamini ..! Kuna mafamilia mengine yanahisi mwanamke akiwa ana kipato kikubwa bas ni kama laana[emoji38]! Nawacheki kwa mbali nasema nhiiii
Sio wote, ila wanawake wengi wa kibongo wakiwa na kipato kikubwa wanazingua sana
 
Mkuu Qatar kuna michongo au wahindi wameshakomba yote
 
Ubalozi wetu umelala! Walipadwa kufanya ufuatiliaji!
Ume'prove' wewe kama wewe ila upande wa amaphoyisa wakikukamata au wadau wengine wanasema ni mtanzania, na ndiyo imeshaharibika hivyo mkuu!.
 
oya cc pinye mambo gan hayo mwanangu unachimba bila kuaga..ndo maana hupatikan..fanya kunitafuta basi mzee.
 
oya cc pinye mambo gan hayo mwanangu unachimba bila kuaga..ndo maana hupatikan..fanya kunitafuta basi mzee.
Dah ilikuwa gafla mzee baba cunajua Tena ..ngoja nitakucheki jioni namba yako si Ile Ile mzee wa kazi?
 
Hahahahahah
 
Wewe ni muongo sana, hii umesimuliwa au ume- exaggerate.

Unaijua dizonga ya 1990 wewe .?....[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi umri wa kuja SA kutafuta maisha ni gani kwelj[emoji23] nisije kuja niko above au below, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu saizi Qatar,UAE kuna fursa Sana wahindi hawaingii sababu ya Covid-19. Ukiomba mchongo wa fani yoyote kwenye matangazo yao unapata fasta.
Mkuu nipe konekshen ya kuuza maparachichi Qatar. Kuna mdau aliwahi niambia kilo ya maparachichi Qatar Ni sawa na Tzs 10,000.
 
Wewe ni muongo sana, hii umesimuliwa au ume- exaggerate.

Unaijua dizonga ya 1990 wewe .?....[emoji3][emoji3][emoji3]
Unabishana au....? Babu sisi ndo wazee wa Deben miaka hiyo enzi za kina JONGO janga, bellwhite, mabula.... Sema kiusalama siwezi weka picha hapa ningekuwekea picha hapa huenda ungjua naongelea na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…