Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
nijuacho ni huwa kuna waonaji kabla ya jambo kutokea. hope walio karibu naye watamfikishia ujumbe.

I, personally nimeuhifadhi ujumbe
 
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Tumesave mkuu
 
Hili bwege halijawahi kumiliki akili.
 
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
this is useless and completely very nonsense ramli gentleman 🐒
 
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja

Nyumbu kashiba migebuka
Kwake Lissu ni Mungu mkuu
Waliokufa wote wamekufa kwa sababu za Lissu

Mpaka Papa Franciss kamkosea Lissu
Kadinar Pengo nk.

Lissu hangekuwa hana kesi ya kujibu hasingekuwa pale alipo Lupango!!

Lkn Nyumbu kwanini vichwani ni wazito sana kuelewa mambo!!!

Mbona yeye mwenyewe Lissu kwenye clip yake kaonesha kile anaenda kukifanya ni kosa Kisheria
Sasa kama yeye mwenyewe anajua ni kosa wewe nani wa kuleta porojo zako!!!!!
 
Vifo vimemuandama sana saa100,kinachofuata ni yeye!
Kufa sote tunakufa kwani hufi ??

Kwamba mungu kakupa upendeleo wa kuishi milele!!!

Damu za wale watoto zitawaandama Wachochezi wa
Waliowaimbisha uko Makanisani ile nyimbo Samia must go Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa

Wakaenda kuchoma Miundombinu ya Jamhuri na yawatu Binafsi

Waliowachochea wale Watoto ndio wanabeba dhima ya vile Vifo vyao

Kwasababu Duniani pote yakitokea mambo kama yale lazima Shaba zitumike kuwadhibiti
Wavamizi !!
Wameuwa police 16
Wavamizi wamechoma vituo vya mafuta wamevamia Baa za watu wakaiba kilakitu mpaka nyama choma na pili pili !!!!
 
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Lisu ndio anatakiwa awaombe msamaha watanzania maana Yale maelekezo yake ya kuwa uchaguzi hautafanyika yamesababisha vifo vya watu wengi sana
 
Maandamano na Uvamizi wapi na wapi
Maandamano yanatakiwa
kufuata Sheria
Lazima kufuata Sheria popote Duniani
Mkitaka kufanya Maandamano mnakwenda kuwajulisha wenye dhamana ya Usalama wa wananchi wote yani Polisi
Polisi watajipima kama siku mnaomba kufanya aya Maandamano wanaweza kusimamia Amani kwenu na Wananchi wengine
Wakiona haiwezekani wanawaambia mpange tarehe nyengine

Sasa Mo29 kumetokea Wavamizi hawajulikani Watanzania Wakenya Waarabu Wazungu

Maana Uvamizi
Waliokusanyika vyombo vya Usalama havina taarifa zozote kuwahusu!!!

Wakavamia Miundombinu ya Serikali na watu Binafsi wakauwa Polisi 16
Bado
Vyombo vya Usalama visijitetea kufikia apo!!

Ilikuwa ni onyo tu ile kitu Mo29
Tukaona mkanyooka December 9 ikapitq kimyaaa Sabasaba kimyaaaa

Kwasasa mmenyooka
kuja

Na risasi zimewaelekeza njia ya kweli ya kudai Reform nk ni kupitia Mahakamani sio kwenye Miundombinu ya Jamhuri au ya watu Binafsi!!!

Ndiomana December 9 hakuna kifo
7+7 hakuna kifo
Kama kuandamana mnaweza kuandamana lkn iwe ndotoni kwenu uko
Uko mpo free mnaweza kuota tu umemkamata husie mpenda ukamchapa viboko
vya kutosha 😛

mana
kuna Ndoto zengine ukishtuka unajutia kwanini nimeshtuka unatamani kulala tena uwendelee kuota kile kile❗
 
Nyumbu kashiba migebuka
Kwake Lissu ni Mungu mkuu
Waliokufa wote wamekufa kwa sababu za Lissu

Mpaka Papa Franciss kamkosea Lissu
Kadinar Pengo nk.

Lissu hangekuwa hana kesi ya kujibu hasingekuwa pale alipo Lupango!!

Lkn Nyumbu kwanini vichwani ni wazito sana kuelewa mambo!!!

Mbona yeye mwenyewe Lissu kwenye clip yake kaonesha kile anaenda kukifanya ni kosa Kisheria
Sasa kama yeye mwenyewe anajua ni kosa wewe nani wa kuleta porojo zako!!!!!

Omba sana ili angalao upate hata ile akili ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom