TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Samuya
Muuaji. Kauwa wanangu wawili.Kuna vitu vingi sana mnamuonea tuu kwa kudhania ni yeye, kiukweli vitu vingine sio yeye ila mnamuonea bure!, hata ile October 29, japo hatumjui aliyetoa ile amri ya shoot to kill them all, yeye hajashika bunduki yoyote na kumuua mtu yeyote ila anayeangushiwa lawama ni yeye!, huku ni kumuonea, ndio maana nimeshauri The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?, ila pia Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
P