Wakati wewe unamuombea mabaya yampate majanga!! Unajua Rais anawaza nini kuelekea kwako!!
Yeye Rais Dk Samia Suluhu Hassan usiku halali kwa kufikiria changamoto za kijamii changamoto za miundombinu yetu mijini na Vijijini ulipozaliwa wewe mwenyewe badala ya kumuombea Afya nyema ili kwenu kufikiwe ktk kupunguza changamoto mbali mbali husilo lijua nisawa na usiku w giza !!
