nijuacho ni huwa kuna waonaji kabla ya jambo kutokea. hope walio karibu naye watamfikishia ujumbe.Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Tumesave mkuuAngalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Hili bwege halijawahi kumiliki akili.Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
this is useless and completely very nonsense ramli gentleman 🐒Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Hili bwege halijawahi kumiliki akili.
Akili za kimasikini hizi.Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
kama Sa100 wenu!this is useless and completely very nonsense ramli gentleman 🐒
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Kufa sote tunakufa kwani hufi ??Vifo vimemuandama sana saa100,kinachofuata ni yeye!
Lisu ndio anatakiwa awaombe msamaha watanzania maana Yale maelekezo yake ya kuwa uchaguzi hautafanyika yamesababisha vifo vya watu wengi sanaAngalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Nyumbu kashiba migebuka
Kwake Lissu ni Mungu mkuu
Waliokufa wote wamekufa kwa sababu za Lissu
Mpaka Papa Franciss kamkosea Lissu
Kadinar Pengo nk.
Lissu hangekuwa hana kesi ya kujibu hasingekuwa pale alipo Lupango!!
Lkn Nyumbu kwanini vichwani ni wazito sana kuelewa mambo!!!
Mbona yeye mwenyewe Lissu kwenye clip yake kaonesha kile anaenda kukifanya ni kosa Kisheria
Sasa kama yeye mwenyewe anajua ni kosa wewe nani wa kuleta porojo zako!!!!!