Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

Wakati wewe unamuombea mabaya yampate majanga!! Unajua Rais anawaza nini kuelekea kwako!!

 
Kiswahili sanifu sio "Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake!"
inapaswa iwe
Ni "Angalizo" sio angalio, na "asipo " sio asiko!.
Swali ni Rais Samia aombe msamaha kwa Lissu kwa kosa gani?!.
P
 
Tunajua sisi mnaota sana ndoto za asubuhi

Panya wakikimbizana kwenye starehe zao!!
Umejikuta umeshtuka gafra
Ndoto yako ilikuwa tamu adui yako tayali yupo chini kadhalilika vya kutosha
unaempenda yupo juu
anapendeza Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa

Mara paaa ! panya kaangusha bakuli !!!
usingizi umekata!!
Asubuhi iyoiyo lazima ukanunue
sumu ya panya!!! Panya kakatisha starehe yako!!!
 
Hicho ndio tunachokisubiri.
 

Kwani Samia hawezi kufa kwamba yeye amempa nini MUNGU kuzidi watu wote wanaokufa
 
Kiswahili sanifu sio "Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake!"
inapaswa iwe
Ni "Angalizo" sio angalio, na "asipo " sio asiko!.
Swali ni Rais Samia aombe msamaha kwa Lissu kwa kosa gani?!.
P

Mama Samia anajua fika kamkosea nini Lissu. Kwa kuagiza Lissu kushitakiwa haya pia ni maono. Endeleeni ku analyze tu mtaona kitakacho tokea. Kama asipo omba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake.
 
Mnatia huruma sana
sasa imebaki kuwa dua la kuku na ramli
 
Ungeongezea tena kwamba na iwe mapema sana iwezekanavyo kabla mapigo 10 hayajatekelezwa na Mungu aliyemuokoa dhidi ya risasi 16. Yeye atumie akili asidanganywe na wachumia tumbo.
 
this is useless and completely very nonsense ramli gentleman 🐒
Unasema hivyo kwa vile wewe ni mchumia tumbo unawaza utapoteza. Sasa yeye aamue kutumia akili zake au ushauri wa wachumia tumbo kama wewe. Atumie ule usemi " ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO"
 
Mama Samia anajua fika kamkosea nini Lissu. Kwa kuagiza Lissu kushitakiwa haya pia ni maono. Endeleeni ku analyze tu mtaona kitakacho tokea. Kama asipo omba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake.
Kuna vitu vingi sana mnamuonea tuu bure Samia kwa kumdhania ni yeye, kiukweli vitu vingine sio yeye ila mnamuonea tuu bure!, hata ile October 29, japo hatumjui aliyetoa ile amri ya shoot to kill, lakini yeye hajashika bunduki yoyote, kufyatua risasi yoyote na kumuua mtu yeyote ila anayeangushiwa lawama ni yeye!, huku ni kumuonea, ndio maana nimeshauri The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?, ila pia Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

P
 
Akufweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…