Angalizo: Mama Samia asipomuomba msamaha Lissu hatamaliza muhula wake!

Samuya
Muuaji. Kauwa wanangu wawili.
 
Kila mtu anajua Magu aliuawa. Na Samya naye mta deal naye?
.
 
Kuuvuka huu mwaka....itakuwa ndoto!

Sauti kutoka nyikani...
Maneno yanaumba!
 
Ht akiomba
Hamalizi muhula😁😁
Mi sio nabii
 
katika ulimwengu wa kiroho na maandishi ya Kuta za siri za kijasusi za kitaifa ilishaamriwa original plan ambayo ni "Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku"

Tayari makam wa Rais aliegombea nae ameshajiuzulu,na makam ambaye hakugombea urais yupo anachapa KAZI japo hatujui no huyu au mwingine ndio mlengwa wa andiko lenyewe!na ukipiga hesabu vizuri comrade ana miaka 43 baada ya miaka miwili atakua 45 itakua ni 2028 ,ukiongeza miaka miwili kuelekea 2030 ,ongeza mingine mitano ya kuchaguliwa ,plus mitano ya muhula wake wa pili jumla kuu = 2 +5+5= 12 ,hii ndio idadi kuu ya FDR kule america!!

Sasa ninachojiuliza je atafanikiwa kuifanya Tanzania kuwa global super power kama america ilivyo!!?

Je kwenye muhula wke wa pili atakuja kuwa mlemavu wa poliosis ya utotoni na baada ya kustaafu apate ile "terrific headache "aliyolalamikia FDR kabla ya umauti kumfika!!?

Je ni yeye huyu mgogo au na yeye atajiuzulu halafu ateuliwa mwingine!

Au ule uchaguzi ulikua batili hivyo Mzee Mpango ndie makam halali asiekua na makando kando coz yeye ni zao la uteuzi baada ya chama kushinda uchaguzi wa 2020!!?

Hii speculative analysis Wala sio mwandiko halisi wa mambo hayo!!

Bado naamini chama chetu na serikali kinaweza kuonyesha utu uliopo kwenye ilani ya chama tuliyoinadi wakati wa uchaguzi!!!
 
Na mwakani chama kina uchaguzi, kinaenda kupasuka pasuka vipande
 
Hayo Maombi ni ya wazi au ya wao Kwa wao
 
Kama siyo yeye kwa nini hotuba zake baada ya ile Oct 29 zilikuwa za kukejeli waliokufa pamoja na wazazi wa watoto waliokufa?
Kama siyo yeye kwa nini kulisakama kanisa katoliki kwa sababu tu lilikuwa likimwambia ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…