Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Mimi binafsi baada ya kuachwa na KATUNGE ambae nilimbikiri mwenyewe kisa tu sipo Romantic niseme kuwa WANAWAKE HAWAELEWEKI
Pia naweza kuoa single mother endapo tu yule mtoto ataamini mimi ni baba yake mzazi na pia mama yake akiweza kuaminisha jamii kuwa huyo mtoto ni wangu
Kingine usitegemee msaada wala kuwekeza furaha yako kwa mtu mwingine ukimsomesha fanya kama unatoa sadaka tu usitegemee kulipwa wema
All in all single mother make sure mtoto wako anakuwa na adabu awe kivutia kwa watu hakuna baba mlezi anaemchukia mtoto mwenye akili watoto wenu mnawadekeza saana kitu ambacho wanaume hatupendi