Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Yamekuwa hayo tena
Kwa uelewa wako mtoto ambaye hujazaa na Mumeo ni mtoto wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamekuwa hayo tena
This is too hash, unacceptable, watu kibao tunawajuwa hapa mjini wanasitiriwa na hawa single mother wenye financial freedom.Mademu kibao unaenda kuokota single mother?
Aaaah na nyie mnayatafuta wenyewe. Mkiona wanawake wenzenu wanafanya madudu muwe wakali.Kwa hiyo sasa hivi mmegeuza kibao kwa single mamaz wenye watoto wa kiume!!
Asee Mungu awatie nguvu wanamama wote walioachana na baba watoto wao kwa sababu zozote zile
Mkuu pole naona Kuna mtu yamemkuta.Ukiwa na uhusiano na mwanamke mwenye mtoto, hasa wa kiume, siku zote yule mtoto anakuona kama mvamizi kwenye maisha yake na mama yake. Na akikua kidogo akajua unamnyandua mama yake, ujue atakuchukia kishenzi, wivu kabisa ule wivu wa kiume.
Atakuvumilia tu kwa kuwa unampa mama yake pesa, lakini hakupendi. Chochote utakachompa anakihesabu kama hongo kwa kuwa unamkula mama yake, usitegemee shukurani yoyote kwa sababu umeshaipata kwa mama yake na ujue hapendi unavyomkula.
Usitarajie kuwa ukija kumuoa huyo mama eti na huyo mtoto atakupenda, hilo nakuhakikishia halitatokea hata umfanyie nini. Na atakapopata mawasiliano na baba mzazi, basi hao watatu (mtoto, mama yake na baba yake) watakugeuza chumo, bwege mtozeni. Utalea mtoto wa mwenzio, akifikia kujimudu mwenyewe ataondoka kwako kama vile hakujui!
Ataanzisha makazi yake mapya na kuendeleza ule wimbo wa "nani kama mama", wewe utatelekezwa. Hata yule baba yake uliyekuwa unadanganywa kuwa hamjali mtoto utakuja kushangaa kujua kuwa kumbe alikuwa anamjali! Watakuwa wanakutana na mkeo kwenye shughuli za huyo mtoto wao! Ataitwa kuja kutoa jina la mjukuu, wewe utawekwa kando. Unahitaji kuwa na ngozi ngumu sana kuvumilia mambo kama haya uzeeni.
Mama yangu alitengana na mzee miaka 21 iliyopita tukiwa wadogo kabisa, alipata bwana ambae aliishi nae tukiwa wote, leo baada ya kuwa watu wazima yule baba mlezi hatumwelei kbs, tunahisi yeye ndiye alikuwa sababu ya mama kuachana na mzee, familia yetu tuko wa kiume watatu, yule amehama pale nyumbani maana ni kama aibu kuishi nae wakati mzee wetu yuko hai.Kwa hiyo sasa hivi mmegeuza kibao kwa single mamaz wenye watoto wa kiume!!
Asee Mungu awatie nguvu wanamama wote walioachana na baba watoto wao kwa sababu zozote zile
Mpeleke mtoto kwa baba yake kma unataka kuwa update.Kwa hiyo sasa hivi mmegeuza kibao kwa single mamaz wenye watoto wa kiume!!
Asee Mungu awatie nguvu wanamama wote walioachana na baba watoto wao kwa sababu zozote zile
"No reasearch, no right to speak".Ukiwa na uhusiano na mwanamke mwenye mtoto, hasa wa kiume, siku zote yule mtoto anakuona kama mvamizi kwenye maisha yake na mama yake. Na akikua kidogo akajua unamnyandua mama yake, ujue atakuchukia kishenzi, wivu kabisa ule wivu wa kiume.
Atakuvumilia tu kwa kuwa unampa mama yake pesa, lakini hakupendi. Chochote utakachompa anakihesabu kama hongo kwa kuwa unamkula mama yake, usitegemee shukurani yoyote kwa sababu umeshaipata kwa mama yake na ujue hapendi unavyomkula.
Usitarajie kuwa ukija kumuoa huyo mama eti na huyo mtoto atakupenda, hilo nakuhakikishia halitatokea hata umfanyie nini. Na atakapopata mawasiliano na baba mzazi, basi hao watatu (mtoto, mama yake na baba yake) watakugeuza chumo, bwege mtozeni. Utalea mtoto wa mwenzio, akifikia kujimudu mwenyewe ataondoka kwako kama vile hakujui!
Ataanzisha makazi yake mapya na kuendeleza ule wimbo wa "nani kama mama", wewe utatelekezwa. Hata yule baba yake uliyekuwa unadanganywa kuwa hamjali mtoto utakuja kushangaa kujua kuwa kumbe alikuwa anamjali! Watakuwa wanakutana na mkeo kwenye shughuli za huyo mtoto wao! Ataitwa kuja kutoa jina la mjukuu, wewe utawekwa kando. Unahitaji kuwa na ngozi ngumu sana kuvumilia mambo kama haya uzeeni.
Haiwezekani kuishi kwa kubeti kiasi hicho!"No reasearch, no right to speak".
Huku niliko kuna mzee mmoja askari Magereza alioa single mother, akamlea mtoto kama wake, akamtunza. Dogo akamaliza masomo yake mwishoni akaingia jeshini.
Sasa hivi huyo dogo ni mkubwa sana jeshini (nadhani ni kapteni ingawa sina hakika), lakini pia ni Mhasibu wa jeshi.
Miaka 2 iliyopita dogo akamtumia baba yake wa kambo pesa atafute kiwanja ajenge Hotel, Bar & Grill. Mshua kajenga Hotel moja kubwa na nzuri hakuna mfano, ina kila kitu ndani. Baba ndiyo Mkurugenzi, mama boss wa jiko.
Majuzi tena dogo katuna pesa kwa mshua kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya familia pembeni kidogo ya hiyo Hotel ili usimamizi wa mradi uwe rahisi (ndiyo maana nyumba imejengwa karibu na mradi wa familia).
Dingi maisha safi, mama maisha safi. Haya mambo hayanaga formula, inategemea tu na akili ya mtoto mwenyewe .