Angalizo wababa: Mtoto wa kambo si wako, usitarajie haki zisizokuwa zako

Angalizo wababa: Mtoto wa kambo si wako, usitarajie haki zisizokuwa zako

Mimi najiuliza inakuwaje mpaka unaoa single maza.
Kama unataka kuoa basi hakikisha mwanamke anaweza kufanya yafuatayo:-

1. Mtoto anapelekwa kwa wajomba zake au bibi yake, hii itaepusha ugomvi usio na sababu hasa kama mtoto ameanza kujielewa. Mf mtoto wake anaweza kumwambia mama yake nipeleke kwa baba yangu pale anapoona wewe ni kikwazo kwenye mahusiano na mama yake

2. Kama mtoto ni mdogo na Mama yake amekuhakikishia kuwa ameachana na baba yake tangu akiwa na mimba [emoji3][emoji3] basi mwambie tumbadili ubini na kama akikataa basi jiongeze....

Kiujumla wanawake ni wabinafsi sana, pia unaweza kukuta baba mtoto anatuma hela za matumizi, ada na anawasiliana na mtoto wale lakini hawezi kukuambia.

Nakumbuka niliwahi kulishwa viazi vitamu huku mama akila mayai na mkate na mwanae ilhali mm ndio nimenunua kila kitu. Niliona nisiwakwaze nikawaaga kuwa mishe nafuatilia hata chai nitakunywa mbele kwa mbele

Mjifunze kwa Diamond.

Mwenye kuelewa na aelewe
 
Inatakiwa God's interference deliverance ya nguvu.Masingo mother wengi huja na misemo yao tuliumizwa.Hawajaona wao wakati mwingine ndio chanzo cha kuachwa.Usipokuwa makini mwanaume kuoa singlemother unaweza kuwa victim wa kulipiziwa kisasi cha mtu mwingine.Hatari sana kuoa mtu anayedai alitendwa 🙄
 
Ajabu,hata mtoto ukiwa na mwanamke mwingine uishi nae zaidi ya mamaake na yeye anaishi kwako.
Atamchukia huyo mwanamke vibaya mno.
Hata huyo mwanamke ajipendekeze vp
 
Kama umeoa single mother, ulishawahi kusikia au kujiuliza shangazi wa huyo mtoto wanamwitaje mkeo? Jibu ni kwamba wanamwita "wifi". Jiulize tena, ni wifi kwa nani? Jamaa yangu mmoja alitaka kupigana kwenye sherehe ya sendoff aliposikia mkewe akiitwa wifi na dada wa X wake. Alifura kwelikweli.
 
Ukiwa na uhusiano na mwanamke mwenye mtoto, hasa wa kiume, siku zote yule mtoto anakuona kama mvamizi kwenye maisha yake na mama yake. Na akikua kidogo akajua unamnyandua mama yake, ujue atakuchukia kishenzi, wivu kabisa ule wivu wa kiume.
oa jina la mjukuu, wewe utawekwa kando. Unahitaji kuwa na ngozi ngumu sana kuvumilia mambo kama haya uzeeni.
Kila mtu ma afanye kile kilicho sahihi moyoni mwake na sio mioyoni mwa hadhira
 
Nimeona familia nyingi mama wa kambo huwa anapata wakati mgumu kutengeneza uhusiano mzuri na watoto wa kike kuliko wa kiume. Na bahati mbaya ukute wamekua kua kidogo humo ndani mtakuwa kama wake wenza
Uko sahihi, kuna poti mmoja jirani huwa akija mtoto wake wa kike...yule mama wa "kambo" uwa anatamani dunia isimame, na dingi haingilii.
 
Ila humu JF watu huwa wanaji hype sana yani ukiwa ni mgeni humu ukasoma comments za wachangiaji unaweza kuzimia kwa pressure.

Kiuhalisia wengi hapa mnao support mada wala sio maisha yenu na wengi mtaoa tu singo bibiz au masingo bibiz wenu kuolewa na wanaume wengine.

Acheni kujimwambafai wakati mnafwafwanzika uswahilini.

Kiuhalisia wengi, single mother mwepuke if possible. Kamwe isiwe first priority, may be last kwamba umeshindwa kabisa. Nami nilikua mbishi na mawazomgando kama haya kwamba sio wote na hawanafanani.

Hata kama unaoa maintain financial status na usimpe money freedom. Jitahidi awe anakutegemea daily au asiweze kujikwamua kiuchumi kabisa. Otherwise hapana.
 
Mademu kibao unaenda kuokota single mother?
 
Watoto wa kike wana moyo wa upendo, hata boyfriend wa mama huwa wanaambiwa wamwite "anko" na wanakubali kiroho safi. Lakini mama naye awe makini kwani kuna wakati binti anaweza kumpa "anko" feelings za ukweli, na ukikuta anko baharia ndio hapo kuku na mayai zinaliwa.
Hakuna mvulana atakayeshadidia jidubwana linalonyandua mama yake!
Naked truth mkuu, Kuna shangazi nalinyandua lina watoto wawili wakike na wakiume, Both wako Boarding schools ila yule wa kike akirudi tu shule yupo karibu sana na mimi mpaka outing tunaenda ofcourse ni kadogo kiumri kapo around 10 yrs ivi ila wakiume huwa hana furaha na mimi kabisa huyo mwanamke sikai nae kila mtu ana kwake
 
Sio wote, kuna wengine wameachana na wanaume wao kwa kufanyiwa ubaya wa hali ya juu kiasi walihatarisha uhai wao.

Mfano kuna huyu mmoja ambae alifanyiwa manyanyaso mpaka ikafika kipindi shemeji zake wakamshauri bora kuachana na ndugu yao la sivyo anaweza jikuta amekufa.

Baada ya muda alijionea mwenyewe na kuamua kuondoka na alijikuta anajuta sana mpaka leo hataki hata kumsikia huyo jamaa.

Kwa kushuhudia mwenyewe hata mtoto amemchukia sana baba yake na jamaa anasema mama anampa mtoto sumu.

Amewaachia mama na mtoto makovu kwa majeraha aliyosababisha yeye unadhani watamrudia?
Kila kukicha chuki inazidi baina yao na ndugu wa mume walifurahi walivyoona huyu bidada ametoka kwenye ndoa ya mateso na nusu.
Ameapa kutomsamehe huyo jamaa na mpaka sasa ameweza kumficha jamaa asijue bibie anapoishi mwaka wa 3 sasa.

Kwa hiyo wale walioachana kwa namna hii hawawezi kurudi mkuu, na zaidi wanahitaji tulizo kwa wanaume wenye kujua thamani yao.
 
Kila mtu ma afanye kile kilicho sahihi moyoni mwake na sio mioyoni mwa hadhira
Unachodhani ni sahihi moyoni mwako kinaweza kukuachia madhara ya kudumu ilhali hadhira ilikuwa na taarifa ambazo zingeweza kukuokoa. Evidence-based approach ni bora zaidi, na jamii inazo kumbukumbu nyingi kuhusu matokeo yaliyowapata watu kwa kupuuza ushauri.
 
Sio wote, kuna wengine wameachana na wanaume wao kwa kufanyiwa ubaya wa hali ya juu kiasi walihatarisha uhai wao.

Mfano kuna huyu mmoja ambae alifanyiwa manyanyaso mpaka ikafika kipindi shemeji zake wakamshauri bora kuachana na ndugu yao la sivyo anaweza jikuta amekufa.

Baada ya muda alijionea mwenyewe na kuamua kuondoka na alijikuta anajuta sana mpaka leo hataki hata kumsikia huyo jamaa.

Kwa kushuhudia mwenyewe hata mtoto amemchukia sana baba yake na jamaa anasema mama anampa mtoto sumu.

Amewaachia mama na mtoto makovu kwa majeraha aliyosababisha yeye unadhani watamrudia?
Kila kukicha chuki inazidi baina yao na ndugu wa mume walifurahi walivyoona huyu bidada ametoka kwenye ndoa ya mateso na nusu.
Ameapa kutomsamehe huyo jamaa na mpaka sasa ameweza kumficha jamaa asijue bibie anapoishi mwaka wa 3 sasa.

Kwa hiyo wale walioachana kwa namna hii hawawezi kurudi mkuu, na zaidi wanahitaji tulizo kwa wanaume wenye kujua thamani yao.
Ukioa huyu wa aina hii ujue siku zako zinahesabika. Huyo mwanaume ataendelea kumfatilia mkewe kwa shari na atataka kumdhuru au kukudhuru au vyote. Unaweza kuuawa, kuchomewa nyumba na madhila mengine ya namna hiyo.
Hapo ukitaka usalama umuwahi huyo ex umuue, au uhame nchi na single mother wako, vinginevyo hautaishi kwa amani.
 
Watoto wa kike wana moyo wa upendo, hata boyfriend wa mama huwa wanaambiwa wamwite "anko" na wanakubali kiroho safi.

Lakini mama naye awe makini kwani kuna wakati binti anaweza kumpa "anko" feelings za ukweli, na ukikuta anko baharia ndio hapo kuku na mayai zinaliwa.

Hakuna mvulana atakayeshadidia jidubwana linalonyandua mama yake!
Kwa hapa means hakuna palipo salama
 
Back
Top Bottom