Angalizo wababa: Mtoto wa kambo si wako, usitarajie haki zisizokuwa zako

Mimi binafsi baada ya kuachwa na KATUNGE ambae nilimbikiri mwenyewe kisa tu sipo Romantic niseme kuwa WANAWAKE HAWAELEWEKI

Pia naweza kuoa single mother endapo tu yule mtoto ataamini mimi ni baba yake mzazi na pia mama yake akiweza kuaminisha jamii kuwa huyo mtoto ni wangu

Kingine usitegemee msaada wala kuwekeza furaha yako kwa mtu mwingine ukimsomesha fanya kama unatoa sadaka tu usitegemee kulipwa wema

All in all single mother make sure mtoto wako anakuwa na adabu awe kivutia kwa watu hakuna baba mlezi anaemchukia mtoto mwenye akili watoto wenu mnawadekeza saana kitu ambacho wanaume hatupendi
 
Single mother ukiwa na mtoto wa kiume make sure kuanzia miaka 4-12 awe karibu na wajomba zake au ndugu zako wa kiume ili kumjenga mtoto kiume

Imagine unaoa single mother alafu mtoto wake wa kiume yupo kama mtoto wa uwoya ??[emoji852]
 
Kuoa single mother sio matumizi sahihi ya akili kwa kweli unamkosea Mungu ... Mungu katupa akili za kufirikia kwa nn uingie kweny matatizo yakitokea mabalaa unakimbilia kwa Mungu!
Mungu katutakaza kuzini ovyo tambua wewe umekubali mwanamke mzinifu.
 
Kuoa single mother sio matumizi sahihi ya akili kwa kweli unamkosea Mungu ... Mungu katupa akili za kufirkia kwa nnn uingie kweny matatizo yakitokea mabalaa unakimbilia kwa Mungu!
Mungu katutakaza kuzini ovyo tambua wewe umekubali mwanamke mzinifu.
Umemaliza bwashee
 
Unalijua hilo leo yaani hayo yapo toka zamani ila watu hawasikii sema tunaanza kujifunza kidogo kidogo angalau mwamko unauona

Kamwe usijihusishe na shamba la mgogoro
Kwenye ukoo wetu huruhusiwi kuoa mke ambaye ana mtoto wa kiume. Wakike naye inategemea baba yake mliachana vipi na huyo baba au labda awe amekufa
 
Single mother ukiwa na mtoto wa kiume make sure kuanzia miaka 4-12 awe karibu na wajomba zake au ndugu zako wa kiume ili kumjenga mtoto kiume

Imagine unaoa single mother alafu mtoto wake wa kiume yupo kama mtoto wa uwoya ??[emoji852]
Dada yangu ni single mother aliolewa lakini mtoto alichukuliwa na akalelewa.na wajomba zake. Pale nyumbani anakuja kusalimia tu. Na ndoa yake imetatibiwa na wajomba mwanzo mwisho.
 
Kwa hiyo bwana dimond na matoto ya zarina pale anaweza vunjwa mtu.
 
Duu? Nini kimekupata?
 
Hilo liko wazi mbona.
Ni vile vijana wa siku hizi ni wajinga na washamba.

Wanadanganywa kijinga na wanawake ati single mother awe Sawa na Mwanamke asiye na mtoto😀😀.

Mwisho matokeo wanaanza kulaumu wanawake Wabaya wakati wao ndio walikuwa mbumbumbu.

Mwanamke lazima avutie kwake na ajifanye ni mwaminifu ili uingie kingi. Subiri watoto wake wakue alafu muda huo umezeeka ndio utaimba Doremifaso latido
 

Wewe bado hujaelewa somo.

Single mother hawana shida, shida ni wanaume mbumbumbu wanaotegemea Embe kwenye Mnazi.

Mtoto wa single mother sio wako na hatakuja kuwa wako Kivyovyote vile hata uwekeze vipi.
Jambo hili utaanza kuliona ukishaanza kuishiwa nguvu Kwa uzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…