Angel Benard aolewa mara ya pili

Licha ya mapungufu ya shusho ila hata huyo mume ana shida mno
Sijui huko ndani, ila kwa kanisani mme alikuwa anaonekana ni Mme bora, na Tina alikuwa anaonekana kabisa anadharau mmewe. Sasa sijui wakiwa wawili ilikuwa inakuwaje. Pia kumbuka mme aliacha uaskofu pale Tabata akamfuata mkewe ndo wakaenda kuvurugana tena.
 
hata Martha Baraka alishaachana na mumewe Baraka, na kwa sasa hatumui tena jina la Martha baraka, anajiita Madame Martha, na ameolewa na mchungaji na wana kanisa
Nilishangaa kumuona Mchungaji Mgogo ndio ameenda kulifungua Hilo kanisa.
Kweli kabisa Hawa wachungaji wanafanya mambo ya aibu kuliko wahumini wao.
 
Nadhani Christina umaarufu na kufuatwa na wanaume wenye fedha kulimpa kiburi na kumwona mumewe si kitu.
Sasa huyo mumewe kasharudi kanisani kwake au?
Ni kweli Christina alikuwaga mkimbizi kutoka Burundi
 
Nadhani Christina umaarufu na kufuatwa na wanaume wenye fedha kulimpa kiburi na kumwona mumewe si kitu.
Sasa huyo mumewe kasharudi kanisani kwake au?
Ni kweli Christina alikuwaga mkimbizi kutoka Burundi
Alivyotoka kwa kanisa la Tina, mme alikwenda anzisha kanisa lingine kabisa jipya. Tabata asingerudi, maana Tabata alikuwa kaajiriwa.Tabata alikuwa anahudumu kwenye Kanisa lililo chini ya makanisa MMPT (Pentecoste)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…