Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Licha ya mapungufu ya shusho ila hata huyo mume ana shida mno
Sijui huko ndani, ila kwa kanisani mme alikuwa anaonekana ni Mme bora, na Tina alikuwa anaonekana kabisa anadharau mmewe. Sasa sijui wakiwa wawili ilikuwa inakuwaje. Pia kumbuka mme aliacha uaskofu pale Tabata akamfuata mkewe ndo wakaenda kuvurugana tena.
 
hata Martha Baraka alishaachana na mumewe Baraka, na kwa sasa hatumui tena jina la Martha baraka, anajiita Madame Martha, na ameolewa na mchungaji na wana kanisa
Nilishangaa kumuona Mchungaji Mgogo ndio ameenda kulifungua Hilo kanisa.
Unajua waliwahi tengana miaka 5 wanaishi nyumba moja ila vyumba tofauti.Mimi nilikuwa ninasali nao Tabata na Shusho mme ndo alikuwa mchungaji kiongozi pale.Walivyorudiana hadi kanisani ilitangazwa,ila walirudiana wakaishi/kulala chumba kimoja kama miaka 3 tu nadhani,ndo wamekuja tengana tena safari hii Tina Shusho kahama kabisa nyumba. Ndo hii almost miaka 3 wanaishi nyumba tofauti,kila mmoja ana kanisa lake.Kumbuka Mchungaji Shusho mwanaume alihama Tabata kanisani ili kumfuata Tina mkewe kwenye kanisa lake Tina pale Manzese. Ndo huko wamekwenda kutofautiana Mme akaondoka kuanzisha kanisa lake tena. Yaani maisha yao hawa unaweza andika script, movie ikauza sana.Jamani Tumjue Yesu kiroho na si kuwafuata hawa binadamu maana wengine hata dhambi wanatuzidi.
Kweli kabisa Hawa wachungaji wanafanya mambo ya aibu kuliko wahumini wao.
 
Sijui huko ndani,ila kwa kanisani mme alikuwa anaonekana ni Mme bora,na Tina alikuwa anaonekana kabisa anadharau mmewe. Sasa sijui wakiwa wawili ilikuwa inakuwaje. Pia kumbuka mme aliacha uaskofu pale Tabata akamfuata mkewe ndo wakaenda kuvurugana tena.
Nadhani Christina umaarufu na kufuatwa na wanaume wenye fedha kulimpa kiburi na kumwona mumewe si kitu.
Sasa huyo mumewe kasharudi kanisani kwake au?
Ni kweli Christina alikuwaga mkimbizi kutoka Burundi
 
Nadhani Christina umaarufu na kufuatwa na wanaume wenye fedha kulimpa kiburi na kumwona mumewe si kitu.
Sasa huyo mumewe kasharudi kanisani kwake au?
Ni kweli Christina alikuwaga mkimbizi kutoka Burundi
Alivyotoka kwa kanisa la Tina, mme alikwenda anzisha kanisa lingine kabisa jipya. Tabata asingerudi, maana Tabata alikuwa kaajiriwa.Tabata alikuwa anahudumu kwenye Kanisa lililo chini ya makanisa MMPT (Pentecoste)
 
Back
Top Bottom