Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.
Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.
Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa watanzania.
Yeye siyo tuliye mchagua wala siyo tuliye mpatia kazi ya kutuletea maendeleo ama kumuomba atuongoze.
Sasa ugumu wa kushindwa kutawala kwa amani na haki ni nini? Kiukweli ameshindwa kuleta katiba kwa manufaa yake kisiasa na manufaa yetu sisi wananchi wake hivi ni kweli kabisa ameshindwa!!!!!!
Kiukweli ukifika mwisho wa utawala wako tafuta nchi ya kwenda wewe na watesi wetu ukiwa kiongozi wao. Kwa sababu sidhani kama mtaacha kuona kila rangi.