Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Nyie na Mbowe. Mbowe angeamua kutogombea kwa shinikizo na matusi angedharauliwa na legacy yake ingechafuka maana wabaya yake wangemuona mnyonge. Kwa kugombea, kuwezesha Mkutano Mkuu ufanyike, kusimamia uchaguzi wa wazi na haki halafu kukubali kushindwa amejijengea heshima kubwa. Historia itamkumbuka kwa hilo na mengine mengi aliyoyafanyia taifa lake. Juhudi zenu za kumchafua hazitafanikiwa na historia itawakumbuka kama kundi la wachafuzi.Viongozi wa Afrika huwa hawajali mambo ya legacy. Imagine kama Mbowe angeamua kutogombea akamwachia Lissu wakati ule. Angeacha legacy nzuri na yenye heshima sana. Kikwete angepitisha ile katiba ya Warioba angeacha legacy ya kukumbukwa vizazi na vizazi. Huyu mama angemaliza hii miaka yake akawaachia linchi lao baada ya kutajirika vya kutosha angalau angeondoka kwa heshima. Madaraka ni matamu sana kwa viongozi wa bara letu. Hata kama wanaboronga vipi!...and no good legacy whatsoever!
Amandla...