Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

Kwa hiyo mkuu Ina maana ikitokea kaanguka basi hakutakua na chochote kitachoendelea tena nchi hii?? Hizi akili ndio pia mlikua nazo wakati wa magufuli.
Kila raisi mnaona hakuna mwingine wa kuweza kuvaa viatu vyake
Umejibu swali ambalo sijauliza. Kinachogomba hapa ni Katiba Mpya na mabadiliko katika mfumo mzima wa CCM. Ninachosema mimi ni kuwa yeyote atakayechukua nafasi ya SSH hatakuwa na msimamo tofauti na wa kwake. Nae atapiga chenga suala la Katiba Mpya na atafanya cosmetic changes katika mfumo wa uchaguzi. Mwenyekiti Magufuli aliendeleza msimamo wa Kikwete na Samia nae wa Magufuli. Hivyo yanayoendelea CCM sasa hivi hayatakuwa na impact yeyote kwenye suala la Katiba Mpya na Utaratibu wa uchaguzi. Ataendelea na msimamo wa SSH.

Amandla...
 
Maudhui ya thread yalikua hayahusu ccm, yanahusu nchi kwa maana nafasi ya raisi. Soma vizuri thread

Kuhusu ccm, yapo magufuli kayabadilisha humo ndani ya ccm, na pia yapo kayabadilisha tofauti na watangulizi wake. Hivyo hata mwingine atayekuja ataweza kuhabadilisha
 
Swali nimekujibu, wapo makamu mpango, na mgombea mwenza Nchimbi. Wao wanaweza kuendelea pale atapoishia huyu wa sasa.
Na unaamini Mpango na Nchimbi wataleta mabadiliko ambayo wengi tunaamini yanahitajika? Swali langu halikuhusu mtu wa kupokea kijiti. Suala ni mabadiliko ya Katiba na utaratibu wa uchaguzi ( ikiwa pamoja na Tume [huru] ya uchaguzi. Nani unaamini ndani ya CCM anaweza kuleta hayo mabadiliko?

Uliuliza ni yupi atakua na ahueni kulinganisha na kiongozi aliyepo. Kwa tafsiri yake ni kuwa aliyepo ana ahueni kuliko wataokuja wengine. Majibu yangu yalijikita hapo kwenye swali lako la awali
 
Huo Uhuru wa maoni na demokrasia mnayo nyie tu ccm na machawa wachache
Tatizo nyie mnatukana hamna lugha ya staha kwa viongozi?
Uhuru Gani huo mamlaka hamtaki kueshimu
Watu wanamtukana rais social media ndio uhuru huo?
Mtanyooka tuh hii nchi Inaendeshwa kwa Sheria na sio hisia
 
Nieleweshe kwa utulivu, yule dada anaitwa sifa bujune alimtukana nani? Au Soka na mlay wamemtukana nani?

Pili, nieleweshe kwa utaratibu mtu anayetukana adhabu yake ni kuuwawa?
 
Hatuitaki CCM na huyo mama yao mchawi. Ndio maana tunadai reforms ili kura ya raia iwe na nguvu ya kuleta mabadiliko ya kiongozi kutoka nje ya CCM.

Sasa mulalamikie CCM basi kwanii munakomaa na mama? yanimalalamaiko yenu utafikiri CCM wakibadilisha Mgombea ndio mtapata mnachokitaka
 
Uliuliza ni yupi atakua na ahueni kulinganisha na kiongozi aliyepo. Kwa tafsiri yake ni kuwa aliyepo ana ahueni kuliko wataokuja wengine. Majibu yangu yalijikita hapo kwenye swali lako la awali
Tafsiri ni kuwa hamna tofauti kati yake na yeyote atakayekuja. Ndio maana niliuliza " katika CCM ya leo ni nani ana msimamo tofauti na kiongozi wao wa sasa?" Kama ni hivyo, hamna sababu ya upinzani kushabikia mabadiliko katika uongozi wa CCM. Tofauti kati ya Doctor Samia na mgombea mwingine wa CCM ni kuwa 2025-2030 utakuwa ni muhula wake wa mwisho. Akigombea mwingine, lengo lake litakuwa abaki mpaka 2035.

Amandla...
 
Maudhui ya thread yalikua hayahusu ccm, yanahusu nchi kwa maana nafasi ya raisi. Soma vizuri thread

Kuhusu ccm, yapo magufuli kayabadilisha humo ndani ya ccm, na pia yapo kayabadilisha tofauti na watangulizi wake. Hivyo hata mwingine atayekuja ataweza kuhabadilisha
Hauwezi kuzungumzia nchi ukaacha CCM. Tunapozungumzia Rais, tunamzungumzia Mwenyekiti wa CCM.

Mabadiliko yote yanayofanywa ni katika kuhakikisha CCM inaendelea kuwa chama tawala. Na hilo sio kosa maana ndio wajibu wao kama wenyeviti wa CCM. Hamna Mwenyekiti wa CCM atakubali mabadiliko yanayotishia nafasi ya chama chake kuendelea kutawala.

Amandla...
 
Back
Top Bottom