Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

Matendo yake baada ya uchaguzi ndiyo yanatia shaka. Ni kama vile amesusa mazima. Na siku akihama chama ndiyo kila kitu kitakuwa peupe. Tujipe muda ili kutetea mianasiasa hii michumia tumbo inayonunulika hii mwisho wake huwa ni aibu. So hata kama unampenda sana mwamba, just save your energy for better use. Your idol may end up being a traitor, a sellout or a state agent!

View attachment 3418230
Sasa atakuwa traitor na sell out mara ngapi? Huo wimbo mmeuimba hata kabla ya kuingia uongozi mpya.

Mbowe haondoki Chadema hata mumfanyie nini. Na ataendelea kufanya kile anachoamini kuwa ni sahihi bila kusubiri baraka za viongozi wake.

Amandla...
 
Wewe ni Mbowe, chawa wake, mchepuko wake au ni mke wa Mbowe? Unaongea kama nani wake? 😳😳😳😳

20250725_150112.png
 
UUn
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.

Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.

Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa watanzania.

Yeye siyo tuliye mchagua wala siyo tuliye mpatia kazi ya kutuletea maendeleo ama kumuomba atuongoze.

Sasa ugumu wa kushindwa kutawala kwa amani na haki ni nini? Kiukweli ameshindwa kuleta katiba kwa manufaa yake kisiasa na manufaa yetu sisi wananchi wake hivi ni kweli kabisa ameshindwa!!!!!!

Kiukweli ukifika mwisho wa utawala wako tafuta nchi ya kwenda wewe na watesi wetu ukiwa kiongozi wao. Kwa sababu sidhani kama mtaacha kuona kila rangi.
Mkuu acha mikwara ya kitoto
 
Kinachopiganiwa ni pamoja na hatima ya mbegu zako na wajukuu zako mhuni wewe
Nasi tunapigania icho icho.
Chadema tumeona makucha yao kabla hta hawajapata nchi
Ccm tumeichoka ila chadema hawana sera Zaid ya fujo na chuki
 
Kumbukumbu atakazotuachia : mauaji ya kikatili ya Alli Kibao, kupotezwa kwa Soka na wenzake wawili, kupotezwa kwa Mdude, kupotezwa kwa Dioniss Kipanya, jaribuo la kumuua Padri Kitima, kufungia makanisa, kumfungulia Mbowe kesi ya mchongo ya ugaidi, kumfungulia Lissu kesi ya mchongo ya uhaini, kuwateka, kuwatesa na kuwafira wanaharakati toka Kenya na Uganda, kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na kuua wagombea wa Chadema katika uchaguzi huo, mambo maovu ni mengi sana aliyofanya katika utawala wake dhalimu.
Mazuri ni mengiii mnoooo
 
Kwa nyie mnaokazania aache ni mwanachama yupi wa CCM anaeweza kumrithi na kuleta mabadiliko mnayotaka?

Amandla.....
Kwa hiyo mkuu Ina maana ikitokea kaanguka basi hakutakua na chochote kitachoendelea tena nchi hii?? Hizi akili ndio pia mlikua nazo wakati wa magufuli.
Kila raisi mnaona hakuna mwingine wa kuweza kuvaa viatu vyake
 
Haujajibu swali langu. Pamoja na kulemewa huko ni yupi unadhani atakuwa na afueni ukilinganisha na kiongozi wao aliyepo?

Amandla...
Kwa hiyo kiongozi akidondoka ndio basi Tena na nchi inadondoka?? Hizi akili kila awamu huwa mnakua nazo
 
Hivi ulishawai ona Mwanaume analazimisha kuoa pisi kwa Mapesa sijui Zawadi, It always not end in peace.

Ndo anachokifanya sasa, Hata akipewa hizo tano, Hazitaisha vzuri
 
Jibu ulivoulizwa blah blah za Nini
Sio blah blah, kiongozi kuwa na makamu tafsiri yake ni kuwa makamu ataweza kurithi madaraka endapo kiongozi hayupo au kapatwa na tatizo(maradhi au kifo)

Yupo makamu mpango, yupo mgombea mwenza Nchimbi

Unataka kuniambia kuna maajabu sana yanafanyika kiasi kwamba mpango au Nchimbi watashindwa kuyafanya?
 
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.

Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.

Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa watanzania.

Yeye siyo tuliye mchagua wala siyo tuliye mpatia kazi ya kutuletea maendeleo ama kumuomba atuongoze.

Sasa ugumu wa kushindwa kutawala kwa amani na haki ni nini? Kiukweli ameshindwa kuleta katiba kwa manufaa yake kisiasa na manufaa yetu sisi wananchi wake hivi ni kweli kabisa ameshindwa!!!!!!

Kiukweli ukifika mwisho wa utawala wako tafuta nchi ya kwenda wewe na watesi wetu ukiwa kiongozi wao. Kwa sababu sidhani kama mtaacha kuona kila rangi.
Chuki itakuua dogo.
.

Haya yote unayoyalalamikia humu kuhusu ubabe wa CCM, kuinyima CDM political space, kuteka watu, kuua and all the filthy, yameasisiwa na Awamu
ya 5 ambayo Polepole was among 5 top insiders.

Rais SSH amejitahidi sana kuleta demokrasia, utawala wa sheria na uhuru wa maoni lakini hajamaliza kwa vile damage waliyofanya akina Polepole ilikuwa ni kubwa mno.
 
TAMAAAA TUUUU HUKO NCHINI MALAWIII HATA YULE MAMA WA MALAWI
 
Chuki itakuua dogo.
.

Haya yote unayoyalalamikia humu kuhusu ubabe wa CCM, kuinyima CDM political space, kuteka watu, kuua and all the filthy, yameasisiwa na Awamu
ya 5 ambayo Polepole was among 5 top insiders.

Rais SSH amejitahidi sana kuleta demokrasia, utawala wa sheria na uhuru wa maoni lakini hajamaliza kwa vile damage waliyofanya akina Polepole ilikuwa ni kubwa mno.
Huo Uhuru wa maoni na demokrasia mnayo nyie tu ccm na machawa wachache
 
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.

Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.

Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa watanzania.

Yeye siyo tuliye mchagua wala siyo tuliye mpatia kazi ya kutuletea maendeleo ama kumuomba atuongoze.

Sasa ugumu wa kushindwa kutawala kwa amani na haki ni nini? Kiukweli ameshindwa kuleta katiba kwa manufaa yake kisiasa na manufaa yetu sisi wananchi wake hivi ni kweli kabisa ameshindwa!!!!!!

Kiukweli ukifika mwisho wa utawala wako tafuta nchi ya kwenda wewe na watesi wetu ukiwa kiongozi wao. Kwa sababu sidhani kama mtaacha kuona kila rangi.
Sasa huyo ni mkalia kiti gani kisicho na mamlaka anayumbishwa na wapige miesere wa Lugoba?
 
Back
Top Bottom