share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Hata hili la Mkuu wa Mkoa Morogoro, Ole Sanare, halieleweki. Eti muda wake umepita!?! Hadithi za haflela ulela zimerudi? Ukuu wa Mkoa una miaka?!? Si alianza juzi tu akichukua nafasi ya Kebwe?!.Au kustaafu kunakosemwa kuna maana nyingine ? maana haiwezekani wote wafanane umri huku mmoja anastaafu mwingine anaajiriwa .
Kama yupo aliyeelewa jambo hili anieleweshe .
Angalizo : Hatuna ugomvi wowote na wawili hawa na wala hatupingi mamlaka ya uteuzi , bali tunaomba kueleweshwa tu