richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,023
Hii ndio hekima, nafurahishwa kuona viongozi wenye kiasi na kikomo, ikitosha imetosha na vyema anastahafu na heshima zake. Sio yule mlevi wa konyagi miaka 20+ ataki kupasisha kijiti cha mwenyekiti kwa wengine, je angepata nchi? Acha aendelee kusaka tonge awaburuze wenye ubongo mzito.Miaka 62 nadhani ameomba kustaafu ili alee wajukuu, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida maana haimpunguzii kitu. Makongoro Nyerere analingana na Mama Mghwira umri lakini jamaa ndo kalamba teuzi kwa mara ya Kwanza.